Mameneja wa TEMESA kanda na Mikoa tumbo joto Waziri Wa Ujenzi Innocent bashungwa kuwaweka tumbo joto mameneja wa Mikoana Kanda TEMESA, na kuwaagiza ataka vivuko vifanye kazi Habari April 24, 2024 Soma Zaidi
Serikali kuboresha posho ya kujikimu kwa wasimamizi wa Uchaguzi April 22, 2024 Siasa Mhe. Patrobas Katambi asema kuwa serikali ipo na mpango wa kuboresha posho ya kujikimu kwa wasimamizi wa Uchaguzi wakati akijibu
Mufti kuelekea Saudia leo April 22, 2024 Jamii Mufti Zuberi wa Tanzania anatarajia kusafiri kuelekea nchini Saudi Arabia baada ya kwa mwaliko wa Katibu Mkuu wa Muslim World
Matokeo ya Sensa wanyamapori na watalii hadharani April 22, 2024 Biashara, Mazingira, Uchumi, Utalii Wizara ya Utalii kupitia taasisi ya utafiti wa wanyamapori (TAWIRI) imefanya sensa ya wanyama na watalii wa nje nchini.
Waziri Silaa kuongoza kliniki ya Ardhi Tanga April 20, 2024 Jamii Waziri Jerry Silaa wa Ardhi anategemewa kuongoza kliniki ya Ardhi tarehe 25 hadi 28 Aprili Mkoani Tanga.
Wawili wafariki ajali ya malori Njombe April 19, 2024 Maafa, Usafiri Ajali ya Lori la Mbao na lori la Makaa ya Mawe yasabisha vifo vya watu wawili akiwemo dereva wa Lori
Aweso: Tumieni Utaalamu wenu Bwawa la Nanja litengemae April 19, 2024 Afya, Kilimo, Uchumi Waziri wa Maji na Mbunge wa Pangani awataka wataalamu wa Wizara ya Maji wafanye maamuzi magumu ili wanusuru Bwawa la
Bashungwa awataka wamiliki wa shule kutoa elimu ya kujiokoa April 19, 2024 Elimu Waziri wa Ujenzi Innocent Bashungwa atoa wito kwa wamiliki wa Shule kutoa elimu juu ya namna ya kujiokoa pindi majanga
Majaliwa awataka wachunguzi wa Hesabu kuwa waaminifu April 19, 2024 Jamii, Uchumi Waziri Mkuu wa Tanzania awataka wataalamu wa uchunguzi wa Hesabu za Serikali kutumia mafunzo waliyopata kwa weledi na uaminifu
Kinana: Maafa ya Mvua yanafanyiwa tathmini na Serikali April 19, 2024 Maafa Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara Abrahman Kinana awataka wananchi kuwa wavumilivu kwani serikali inaendelea na tathmini kwa ajili ya ukarabati
Mwili wa mwanafunzi waokotwa vichakani April 13, 2024 Jamii Mwili mwanafunzi wa darasa la sita umekutwa vichakani baada ya kuuwawa, Kata ya Nyakato, wilayani bukoba vijijini Mkoa wa Kagera.
Mtoto wa miaka 12 akamatwa kwa ulawiti Njombe April 13, 2024 Jamii, Uhalifu Mtoto wa miaka 12 ashikiliwa na Polisi mkoani Njombe kwa tuhuma za kumlawiti mwenzie wa miaka 10