Kutoa huduma nje ya muda wa kazi, Waziri Ummy afafanua Waziri wa Afya Ummy Mwalimu amesema utoaji wa huduma nje ya muda wa kazi katika hospitali za umma sio jambo jipya Afya July 12, 2023 Soma Zaidi
Hairuhusiwi kusuka Zanzibar, faini milioni moja July 12, 2023 Jamii Baraza la Sanaa, Sensa ya filamu na Utamaduni Zanzibar limetoa ufafanuzi kuwa haruhusuwi kwa mwanaume kusuka Zanzibar
Rushwa inakwamisha mifumo ya kitaasisi July 11, 2023 Jamii, Siasa, Uhalifu Raisi wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassani amesema vitendo vingi vya rushwa ndio nikwazo cha maendeleo
LHRC yakemea watu kutishiwa maisha July 11, 2023 Jamii, Uhalifu Kituo cha sheria na haki za binadamu kimekemea vitendo vya viongozi kuwatishia watu wanaotekeleza uhuru wao wa kutoa maoni.
Watumiaji wa ‘Cryptocurrency’ wapo hatarini July 11, 2023 Teknolojia, Uchumi Benki kuu ya Tanzania imesema watumiaji wa sarafu mtandao wapo hatarini sababu kuna mifumo ya kweli na mingine ya uongo.
Wanafunzi wanamaliza hela kwenye ‘kubeti’ July 10, 2023 Elimu, Jamii Kundi kubwa la wanafunzi linamaliza hela ya ada kwenye kamari na kupelekea kuhangaika kipindi cha mitihani vyuoni.
JKT inatoa fursa ya ajira kwa vijana July 10, 2023 Jamii Rais Samia Suluhu Hassan amelipongeza Jeshi la kujenga Taifa kwa kutengeneza fursa za ajira kwa vijana.
“Punguzeni semina wananchi wapate huduma” July 10, 2023 Afya Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu amewataka wataalamu wa Afya kupunguza semina ili upatikane muda wa kutoa huduma.
Ndege ya mizigo ya ATCL sasa mambo mazuri July 10, 2023 Biashara, Uchumi Ndege ya mizigo ya Shirika la ndege nchini ATCL imefanya safari yake ya pili hii leo tarehe 10 kupeleka mizigo Dubai.
Uchunguzi unaendelea ‘Hoteli’ nne kuungua Zanzibar July 10, 2023 Jamii, Maafa Kamati ya Ulinzi na usalama ya mkoa wa Kusini Unguja bado inaendelea na uchunguzi kufuatia kuungua kwa 'hoteli' nne na
Waziri wa Afya atoa neno video ya mhudumu Kivule July 8, 2023 Afya, Jamii Waziri wa Afya Ummy Mwalimu amesema viongozi wameanza kufanyia kazi sakata la video iliosambaa kwenye mitandao ya kijamii.
CCM Zanzibar yamfuta uanachama Karume July 8, 2023 Siasa Chama cha CCM Zanzibar kimemfuta uanachama kada wake Balozi Ally Karume kwa kosa la kukidhalilisha chama hicho.
Mwanzilishi wa Telegram akamatwa Ufaransa Ulaya August 25, 2024 Mwanzilishi wa Telegram mwenye asili ya kirusi amekamatwa nchini Ufaransa siku ya
Hitilafu ya mfumo wa Crowdstrike yasimamisha dunia July 19, 2024 Anguko la mfumo wa Crowdstrike umesababisha kapuni nyingi duniani kushindwa kutoa huduma