ZINAZOVUMA:

Rushwa inakwamisha mifumo ya kitaasisi

Raisi wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu...

Share na:

Rais Samia Suluhu Hassan amesema kuwa moja ya vikwazo vya maendeleo barani Afrika ni pamoja na janga la rushwa ambalo limekuwa likithoofisha mifumo ya kitaasisi na kuathiri mipango na mikakati ya kujikomboa kiuchumi.

Kauli hiyo ameitoa leo Jumanne Julai 11, 2023 aliposhiriki maadhimisho ya siku ya kupambana na rushwa Afrika, katika ukumbi wa mikutano wa AICC jijini Arusha, ambapo amesema kuwa vitendo hivyo haviishii kwenye mipaka ya nchi kwa kuwa ni miongoni mwa makosa yanayovuka mipaka.

Endelea Kusoma

Mwanzilishi wa Telegram mwenye asili ya kirusi amekamatwa nchini Ufaransa siku ya

Chaguo la Mhariri

Habari Mpya