ZINAZOVUMA:

Kitaifa

Waziri wa Habari Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Nape Nauye amesema Dkt Slaa na wenzake watatu hawajakamatwa kwasababu ya maoni yao kuhusu bandari
Raisi Samia amewapangia vituo vya kazi mabalozi watatu na kumbadilisha balozi Mbelwa Kairuki aliyekuwa China
Bondia Karim Mandonga anasubiri majibu ya vipimo alivyofanya katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili vitakavyomuwezesha kuingia tena ulingoni
Mbio za ligi kuu ya NBC rasmi zinaanza hii Leo kwa michezo mitatu itakayopigwa katika viwanja tofauti tofauti nchini

Chaguo la Mhariri

Habari Mpya

Mwanzilishi wa Telegram mwenye asili ya kirusi amekamatwa nchini Ufaransa siku ya