14 wafariki katika ajali ya Lori mkoani Mbeya Lori lasababisha ajali mbeya na kuua watu 14 akiwemo mtoto wa miaka minne, na kuacha karibu watu 17 wakiwa na majeraha makubwa Jamii, Maafa, Usafiri June 5, 2024 Soma Zaidi
Wavuvi ruksa kuuza samaki popote – Waziri Mkuu June 3, 2024 Biashara, Jamii, Uchumi Waziri Mkuu Kassim majaliwa amewapa ruhusa wavuvi wa samaki na dagaa kuuza popote pale nchini, bila kujali walipovuliwa samaki hao.
Mbunge ataka tembo wachinjwe wapelekewe nyama June 3, 2024 Jamii, Maliasili, Mazingira, Utalii Munge wa Viti Maalum kutoka Mkoa wa Ruvuma aitaka Wizara ya Maliasili a utalii kuua tembo wanaovamia vijiji kisha nyama
Serikali yazindua magari ya umeme Dodoma May 31, 2024 Mazingira, Nishati, Teknolojia, Usafiri naibu Waziri Mkuu wa Tanzania Mhe. Doto Biteko amezindua magari ya umeme Jijini Dodoma akiwa na wawakilishi wa UNDP na
TANROADS kuendelea kwatumia wataalamu waliostaafu May 30, 2024 Elimu, Usafiri Waziri wa Ujenzi Mhe. Innocent Bashungwa ameweka wazi mpango wa Serikali kuwatumia wataalamu wabobezi waliostaafu ili kujenga kizazi kijacho
SERIKALI KUWACHUKULIA HATUA KALI VISHOKA May 30, 2024 Jamii, Madini, Uchumi, Usafiri Waziri Innocent bashungwa aweka wazi mpango wa Serikali kuwachukulia hatua vishoka wanaotoza gharama kubwa kwenye malighafi za ujenzi
Msaada wa Kisheria kugaiwa bure Mkoani Njombe May 23, 2024 Habari Waziri wa Sheria Dkt. Pindi Chana na Mkuu wa Mkoa watangaza rasmi siku ya ufunguzi wa Msaada wa kisheria mkoani
TMA: Kimbunga “IALY” kusababisha mvua na upepo May 20, 2024 Habari Mamlaka ya Hali ya Hewa nchini Tanzania (TMA) yatangaza uwepo wa Kimbunga IALY na uwezekano wa kuwa na upepo mkali,
Mchengerwa: halmashauri biashara ya hewa ukaa inalipa May 9, 2024 Biashara, Mazingira, Utalii Waziri wa TAMISEMI awataka wakurugenzi wa wilaya wenye misitu ya asili kwenye wilaya zao, kuanzisha biashara ya hewa ukaa kama
Putin aapishwa kwa muhula wa tano May 7, 2024 Siasa Rais Putin wa urusi kuapishwa tena jijini Kremlin kushika wadhifa huo kwa muhula wa tano, katika sherehe ambayo ilisusiwa
Nyara za Serikali zawasababishia kifungo cha miaka 20 May 7, 2024 Maafa, Mazingira, Uhalifu, Utalii Mahakama imewapa adhabu ya miaka 20 jela kwa kila mmoja watuhumiwa wawili wa ujangili kwa kukutwa na nyara za serikali
Lishe duni, sababu ya watoto kukimbia hesabu May 6, 2024 Habari Miongoni mwa sababu za wanafunzi kuwa na uelewa mdogo, kuchukia masomo ya sayanis na hata kuwa watoro wa shule ni
Mwanzilishi wa Telegram akamatwa Ufaransa Ulaya August 25, 2024 Mwanzilishi wa Telegram mwenye asili ya kirusi amekamatwa nchini Ufaransa siku ya
Hitilafu ya mfumo wa Crowdstrike yasimamisha dunia July 19, 2024 Anguko la mfumo wa Crowdstrike umesababisha kapuni nyingi duniani kushindwa kutoa huduma