Niger yaishutumu Ufaransa kuvuruga amani Jeshi la Niger limesema Ufaransa ilikiuka zuio la anga lililotolewa na Niger na pia imewaachia magaidi 16 ili waishambulie nchi yao Maafa, Siasa August 10, 2023 Soma Zaidi
Biden asitisha uwekezaji wa teknolojia China August 10, 2023 Teknolojia Raisi wa Marekani Joe Biden ametia saini agizo linalozuia makampuni ya Marekani kwenda kuwekeza nchini China
Ombi la Trump lakataliwa August 7, 2023 Siasa Baada ya ombi la kwanza kukataliwa la kuongezewa muda Donald Trump amekuja na ombi lingine kutaka kesi ihamishwe kutoka Washington
Israel yauwa wanne kutoka Syria August 7, 2023 Jamii, Maafa, Siasa Wanajeshi wanne wa Syria na wapiganaji wawili wanaoungwa mkono na Iran wameuwawa katika shambulio lililofanywa na Israel
Ufaransa imesitisha misaada Burkina Faso August 7, 2023 Siasa Serikali ya Ufaransa imejibu mapigo kwa kutangaza kusitisha misaada ya bajeti na maendeleo nchini Burkina Faso
IMF yaipongeza Tanzania kuulinda uchumi August 3, 2023 Uchumi Naibu Mkurugenzi Mtendaji wa IMF Bo Li ameipongeza serikali ya Tanzania kwa kudumisha utulivu wa kiuchumi
Kisa joto, Iran yatoa mapumziko ya siku mbili August 2, 2023 Mazingira Kuongezeka kwa joto nchini Iran kumepelekea serikali kutoa likizo ya siku mbili kwa wafanyakazi wa serikali na wale wa benki
Raia wa Ufaransa na Ulaya waondoka Niger August 2, 2023 Siasa Ndege ya kwanza iliyobeba raia wa Ulaya imeondoka nchini Niger kufuatia mapinduzi ya kijeshi yaliyofanyika nchini humo
Trump ashtakiwa tena kwa makosa mapya August 2, 2023 Siasa Raisi wa zamani wa Marekani Donald Trump ameshtakiwa kwa makosa mapya ya kupanga njama za kubadilisha matokeo ya uchaguzi
Mgogoro Niger, Ufaransa yaonywa August 1, 2023 Siasa Burkina Faso pamoja na Mali zimetoa onyo kwa Ufaransa kutoingilia yale yanayoendelea nchini Niger la sivyo watakua wametangaza vita
44 wapoteza maisha katika mlipuko, Pakistan July 31, 2023 Jamii, Maafa Zaidi ya watu 44 wamepoteza maisha huku 100 wakijeruhiwa katika mlipuko wa kujitoa muhanga uliotokea nchini Pakistan
Waziri Mkuu awaalika wawekezaji sekta ya mbolea July 28, 2023 Biashara, Kilimo, Uchumi Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewaalika wawekezaji waliobeba waje kuwekeza kwenye sekta ya mbolea ili kufufua viwanda vya mbolea nchini
Mwanzilishi wa Telegram akamatwa Ufaransa Ulaya August 25, 2024 Mwanzilishi wa Telegram mwenye asili ya kirusi amekamatwa nchini Ufaransa siku ya
Hitilafu ya mfumo wa Crowdstrike yasimamisha dunia July 19, 2024 Anguko la mfumo wa Crowdstrike umesababisha kapuni nyingi duniani kushindwa kutoa huduma