Ufaransa kuondoa wanajeshi wake Niger Raisi wa Ufaransa Emmanuel Macron amesema nchi yake itaondoa wanajeshi wake na Balozi wake nchi Niger mwishoni mwa mwaka huu Siasa September 25, 2023 Soma Zaidi
Tshisekedi aunda njama kumpindua Kagame September 22, 2023 Siasa Jarida la News times la nchini Rwanda linamshutumu Raisi wa Congo Felix Tshisekedi kwa kuunda njama za kumpindua Rais Kagame
Demokrasia ya Magharibi haifanyi kazi Afrika September 22, 2023 Siasa Kiongozi wa kijeshi kutoka Guinea amesema nchi za Magharibi ziache kuingilia demokrasia ya Afrika kwani hazifanani
Akamatwa kwa kuchora katuni inayomkejeli Waziri Mkuu September 22, 2023 Jamii, Siasa Mchoraji katuni maarufu nchini Tunisia amekamatwa kwa kuchora katuni inayomkejeli Waziri Mkuu wa nchi hiyo
Upinzani waunga mkono mapinduzi Gabon September 22, 2023 Siasa Kiongozi wa upinzani na mkosoaji mkubwa wa aliyekuwa Rais wa Gabon ameungana na kiongozi wa mpito Jenerali Nguema
Mabaki ya kale ya mbao yagunduliwa Kalambo September 21, 2023 Habari, Mazingira Mabaki ya kale yaliyotengenezwa kwa mbao yamegunduliwa mpakani mwa Zambia na Tanzania karibu na Ziwa Vivtoria.
Burkina Faso kutuma majeshi kuisaidia Niger September 20, 2023 Siasa Bunge la Burkina Faso limeidhinisha azimio la kutuma wanajeshi kwenda kutoa msaada nchini Niger ikiwa ECOWAS wataivamia
kisa mapinduzi Gabon yaondolewa Jumuiya ya Madola September 20, 2023 Siasa Jumuiya ya Madola imeiondoa nchi ya Gabon kwa muda kutokana na mapinduzi ya kijeshi yaliyofanyaka na kuitaka irejeshe demokrasia
Mahakama Nigeria imewaachia watuhumiwa LGBTQ September 20, 2023 Jamii Mahakama nchini Nigeria imewaachia kwa dhamana watuhumiwa 69 wanaojihusisha na mahusiano ya jinsia moja
Wananchi Libya wadai fidia na kulaumu Bunge kwa uzembe September 20, 2023 Jamii, Maafa Wananchi nchini Libya wameandamana wakiishtumu serikali kwa uzembe kutokana na mafuriko yaliyotokea
CRDB Al Barakah yangara tuzo za GIFA September 19, 2023 Uchumi CRDB Al Barakah yangara katika mkutano na tuzo ya GIFA ya 13 iliyofanyika jijini Dakar, uliokutanisha wadau wengi wa uchumi
Rais wa zamani wa Zambia aishtaki serikali kumzuia kusafiri September 19, 2023 Siasa Raisi wa zamani wa Zambia Edgar Lungu ameishtaki serikali ya Zambia kwa kumzuia kusafiri kwenda Korea Kusini