Waziri Mkuu aiombea kura Tanzania Baraza la michezo
Waziri Mkuu Kassimu Majaliwa ameiombea kura Tanzania kuwa makao makuu ya sekretarieti ya Baraza la michezo la umoja wa Afrika ukanda wa IV
Makazi ya Israel yanakiuka sheria za kimataifa
Guterres apinga vikali hatua ya Israel kufanya makazi katika ardhi ya Palestina.
Uchambuzi uzinduzi wa ikulu chamwino
Uzinduzi wa Ikulu ya Chamwino Dodoma, umeleta mengi ikiwemo tafsiri ya vitendo juu ya kauli “Kazi iendelee” iliyozoeleka nchini Tanzania.
Mlipuko wa kipindupindu Dar es salaam.
Ugonjwa wa kipindupindu umeibuka Dar es salaam ambapo zaidi ya watu 10 wamethibitika kuugua ugonjwa huo.
Tanzania kuwarejesha wanafunzi walioko Sudan.
Nchi mbalimbali Afrika na nje ya Afrika zimeanza utaratibu wa kuwaondoa raia wao katika nchi ya Sudan ili kulinda usalama wao.
Tafiti: “Energy drinks” zinaweza kuua.
Tafiti zinaonesha kuwa unywaji wa “energy drinks” kupita kiasi unaweza sababisha magonjwa ya moyo au hata vifo vya ghafla.
Samia: kumbadilisha kijana wakiume si rahisi.
Raisi wa Samia amesema ni rahisi kumbadilisha binti wa kike aleyepotea na akarudi kuwa mwanamke anaejitambua.
Hali yazidi kuwa mbaya Sudan, 186 wafariki.
Zaidi ya watu 186 wamepoteza maisha huku zaidi 1800 wakijeruhiwa kufuatia mapigano yanayoendelea Khartoum Sudan.
Serikali kuweka somo la maadili shuleni.
Serikali imesema itaweka somo la maadili katika mtaala wa elimu ili kukabiliana na changamoto ya mmomonyoko wa maadili.
TARI kuboresha mbinu za umwagiliaji.
Taasisi ya kilimo na utafiti Tanzania yaboresha mbinu za umwagiliaji ili kuongeza uzalishaji wa mbegu na shughuli za utafiti.
Zaidi ya shule ishirini zachuana Ramadhani Quiz.
Zaidi ya shule ishirini zachuana katika mashindano ya Ramadhani Quiz yanayoandaliwa na taasisi ya An nahl trust jijini Dar es salaam.
Namna Achraf Hakimi alivyokwepa “kiunzi” cha talaka.
Mke wa Achraf Hakimi adai talaka na kutaka kugwana nusu ya mali za mumewe ambazo zimandikishwa kwa jina la mama yake Achraf Hakimi.