ZINAZOVUMA:

Iran ipo nusunusu kununua ndege Urusi

Ndege ain ya Sukhoi 30 za Urusi zikiwa angani

“Iran inaweza kuzalisha ndege zake za kivita, ikiwa Urusi haiwezi kutuuzia vile tunavyotaka. Sio wao tu wanaweza tengeneza ndege hizo” – Iran