Sakho apewa mkono wa kwaheri na Simba Klabu ya Simba imetangaza kuachana na mchezaji wake raia wa Senegal Pape Osman Sakho akielekea Ufaransa Michezo July 24, 2023 Soma Zaidi
Paspoti ya Tanzania yapanda viwango July 21, 2023 Jamii, Uchumi, Usafiri Paspoti ya Tanzania imepanda nafasi saba ya viwango vya ubora ikishikilia nafasi ya 69 katika paspoti zenye nguvu duniani
Canada yanufaisha wanafunzi wa Tanzania July 20, 2023 Elimu Serikali ya Tanzania imesaini makubaliano na nchi ya Canada kupokea fedha zitakazo wasaidia wanafunzi katika mradi wa 'Kila Binti Asome'
Sekta ya madini kipaumbele cha bajeti – Biteko July 20, 2023 Madini Waziri wa Madini Mhe Dotto Biteko amesema kuwa serikali itahakikisha kuwa inatatua changamoto zote za sekta ya madini
Serikali yawasilisha pingamizi kesi ya bandari July 20, 2023 Biashara, Uchumi Serikali ya Tanzania imewasilisha pingamizi lake la kuitaka Mahakama Kuu Kanda ya Mbeya kutupilia mbali kesi ya bandari
AU yampa baraka Dkt Tulia kuwania Urais July 20, 2023 Siasa Umoja wa Afrika umeridhia Dkt. Tulia, Spika wa Bunge la Tanzania kama mgombea pekee wa Urais wa umoja wa jumuiya
Helping Hand yaleta furaha kwa wanafunzi July 19, 2023 Elimu, Jamii Taasisi ya 'Helping Hand for relief and Development Africa' imegawa viti na meza vya kusomea kwa shule ya sekondari Mpapa
Aua mtoto wa miaka saba kwa viboko July 19, 2023 Elimu, Jamii Mwalimu mkoani Kilimanjaro anatafutwa na jeshi la polisi baada ya kumchapa mtoto wa darasa la kwanza na kusababisha kifo chake
TMA yatangaza uwepo wa El Nino July 19, 2023 Jamii, Mazingira El Nino inaweza kupiga kuanzia Oktoba amesema Dk. Kantamla Meneja wa Utabiri wa Mamlaka ya Hali ya Hewa nchini Tanzania
Mjadala wa Mkataba wa Bandari na Falsafa ya 4R ya Dr. Samia July 18, 2023 Uchumi Pata kufahamu Mkataba wa uwekezaji kwenye bandari kulingana na jicho la falsafa ya Dr. Samia ya 4R inavyoweza kusaidia nchi.
Tanzania na Hungary kushirikiana sekta ya elimu July 18, 2023 Biashara, Elimu, Uchumi Serikali ya Tanzania na Hungary zimetia saini makubaliano juu ya ushirikiano wa nchi hizo mbili katika masuala ya elimu
Tanzania kulipa TZS bilioni 266 July 18, 2023 Biashara, Uchumi Kituo cha kimataifa cha Usuluhishi wa Migogoro ya Uwekezaji kimeiamuru Tanzania kuzilipa kampuni za uchimbaji wa madini
Mwanzilishi wa Telegram akamatwa Ufaransa Ulaya August 25, 2024 Mwanzilishi wa Telegram mwenye asili ya kirusi amekamatwa nchini Ufaransa siku ya
Hitilafu ya mfumo wa Crowdstrike yasimamisha dunia July 19, 2024 Anguko la mfumo wa Crowdstrike umesababisha kapuni nyingi duniani kushindwa kutoa huduma