Kesi ya Trump yapelekwa mbele mpaka Machi 4, 2024 Kesi inayomkabili Rais wa zamani wa Marekani Donald Trump imepelekwa mbele mpaka Machi 4,2024 ndipo itakaposikikizwa tena mjini Washington Jamii, Siasa August 29, 2023 Soma Zaidi
Waziri wa Libya afutwa kazi kwa kukutana na Waziri wa Israel August 28, 2023 Jamii, Siasa Libya haiitambui Israel na imekua ikiiunga mkono palestina hali iliyopelekea kufutwa kazi kwa Waziri wa Libya baada ya kukutana na
Trump kupanda kizimbani leo August 28, 2023 Jamii, Siasa Raisi wa zamani wa Marekani Donald Trump Leo atapandishwa kizimbani kusikiliza kesi yake inayomkabili ya kujaribu kuharibu uchaguzi wa mwaka 2021
Ufaransa yazuia wanafunzi kuvaa abaya shuleni August 28, 2023 Elimu, Jamii Wizara ya elimu nchini Ufaransa imepiga marufuku vazi la abaya kwa wanafunzi nchini humo kwani hawataki kuwepo na viashiria vya
Fifa yamfungulia kesi Rais wa soka Hispania August 25, 2023 Michezo Shirikisho la mpira wa miguu duniani FIFA limemfungulia kesi Rais wa shirikisho la soka nchini Hispania baada ya kumuhusu mshambuliaji
Nchi sita zaruhusiwa kujiunga na umoja wa BRICS August 24, 2023 Siasa Raisi wa Afrika Kusini Cyril Ramaphosa ametangaza kuwa nchi nyingne sita zitakua miongoni mwa umoja wa BRICS kuanzia Januari
Kimya cha Putin chazua maswali baada ya kifo cha kiongozi wa Wagner August 24, 2023 Jamii, Maafa Raisi wa Urusi Vladimir Putin hajazungumza kitu chochote tangu taarifa za kifo cha kiongozi wa Wagner kutangazwa
Mgombea urais Marekani aahidi kusitisha msaada Ukraine August 24, 2023 Siasa Mgombea wa nafasi ya urais nchini Marekani kupitia chama cha Republican Bw Vivek Rwamaswamy amesema ni ujinga kuendelea kuipa msaada
Msaidizi wa Xi Jinping azuiliwa kuingia kwenye mkutano wa BRICS August 24, 2023 Siasa Msaidizi aliyeambatana na Rais wa China Xi Jinping alizuiliwa kuingia ndani ulipokua ukifanyika mkutano wa viongozi wa nchi za BRICS
Zijue nchi zinazotaka kujiunga na umoja wa BRICS August 23, 2023 Siasa Zaidi ya nchi 40 zina nia ya kujiunga na umoja wa BRICS wakiamini kuwa utawala wa nchi za Magharibi unaelekea
Putin kuhudhuria mkutano wa BRICS kwa njia ya mtandao August 23, 2023 Siasa Raisi wa Urusi Vladimir Putin amelazimika kuhudhuria mkutano wa BRICS unaofanyika Afrika Kusini kwa njia ya mtandao (video conference)
Chama cha soka Saudia chazuia usajili wa Mason Greenwood August 23, 2023 Michezo Chama cha soka nchini Saudi Arabia kimehofia kumsajili mchezaji wa zamani wa Manchester United Mason Greenwood kutokana na tuhuma alizokuwa
Mwanzilishi wa Telegram akamatwa Ufaransa Ulaya August 25, 2024 Mwanzilishi wa Telegram mwenye asili ya kirusi amekamatwa nchini Ufaransa siku ya
Hitilafu ya mfumo wa Crowdstrike yasimamisha dunia July 19, 2024 Anguko la mfumo wa Crowdstrike umesababisha kapuni nyingi duniani kushindwa kutoa huduma