ZINAZOVUMA:

Kimya cha Putin chazua maswali baada ya kifo cha kiongozi wa Wagner

Raisi wa Urusi Vladimir Putin hajazungumza kitu chochote tangu taarifa...

Share na:

Rais wa Urusi Vladimir Putin hadi sasa bado hajazungumza chochote juu ya kifo kilichoripotiwa cha Yevgeny Prigozhin ambae ni kiongozi wa jeshi la Wagner.

Jana usiku, muda mfupi baada ya habari kuenea kwamba Prigozhin alikuwa kwenye ndege iliyopata ajari ya Embraer, Putin alionekana kwenye tukio la kumbukumbu ya vita katika Mkoa wa Kursk.

Wakati wa hafla hiyo, alitoa pongezi kwa Warusi waliouawa katika vita iliyopitwa operesheni maalum ya kijeshi nchini Ukraine.

Imewashangaza wengi kwamba hakuitaja Wagner au Yevgeny Prigozhin.

Je kimya cha Putin kina maana gani?

Endelea Kusoma

Kijana Edward awebwa ahukumiwa miaka 6 jela nchini Uganda, kwa kumtukana rais

Chaguo la Mhariri

Habari Mpya