Bandari ya Dar es salaam yaipiku bandari ya Mombasa Bandari ya Dar es salaam imefanya vizuri katika orodha ya benki ya dunia na kuonekana kuongeza ufanisi kwa miaka ya hivi karibuni Uchumi May 22, 2023 Soma Zaidi
Dangote kuzindua kiwanda cha kusafisha mafuta May 22, 2023 Uchumi Kiwanda cha kusafisha mafuta nchini Nigeria kinazinduliwa leo hii na serikali ya Raisi Muhammadu Buhari
Sudan kusitisha mapigano May 21, 2023 Siasa, Uhalifu Pande mbili zinazopigana nchini Sudan zimekubaliana kusitisha mapigano kwa muda wa siku saba
Utafiti wa asili ya binadamu wa kwanza wakosolewa May 18, 2023 Elimu, Jamii Wanasayansi wa Canada na Marekani wamekosoa nadharia kuwa binadamu wa kwanza asili yake ni Africa
Yanga kukutana na Usm Alger fainali May 18, 2023 Michezo Klabu ya Yanga itakutana na klabu ya Usm Alger kutoka Algeria katika hatua ya fainali ambapo mchezo wa kwanza utachezwa
Ethiopia yatoa leseni kwa Safaricom May 11, 2023 Teknolojia, Uchumi Ethiopia imeipatia leseni kampuni ya mawasiliano ya Safaricom kuendesha huduma za pesa (kutuma na kupokea pesa) nchini humo
UN kukaa kikao kuhusu mzozo Sudan May 11, 2023 Jamii, Uhalifu Baraza la haki za kibinadamu la umoja wa mataifa litafanya kikao cha dharura kujadili mzozo nchini Sudan
Mambo bado magumu Sudan. May 9, 2023 Siasa, Uhalifu Mazungumzo ya kutuliza ghasia nchini Sudan hayaonekani yakileta ahueni kwani kila pande inaona ina uwezo wa kushinda vita
Gari la Balozi wa Uturuki lashambuliwa Sudan May 8, 2023 Siasa, Uhalifu Gari la Balozi wa Uturuki nchini Sudan limeshambuliwa siku ya jana wakati mapigano yakiendelea katika Mji wa Khartoum
Marumo Gallants wataka hamasa kama ya Raisi Samia May 8, 2023 Michezo Mashabiki wa klabu ya Marumo Gallants wamtaka Raisi wa Afrika Kusini Cyril Ramaphosa kuwapa hamasa kama ya Raisi Samia
Afrika Kusini mpaka Dar kwa “Bus” May 2, 2023 Jamii Kampuni ya usafiri ya nchini Afrika Kusini imeanzisha safari kwa njia ya basi kutoka Johannesburg mpaka Dar es salaam
Yanga yatinga hatua ya nusu fainali shirikisho. May 1, 2023 Michezo Klabu ya Yanga imefanikiwa kutinga hatua ya nusu fainali ya kombe la shirikisho barani Afrika kwa mara ya kwanza.