ZINAZOVUMA:

Ethiopia yatoa leseni kwa Safaricom

Ethiopia imeipatia leseni kampuni ya mawasiliano ya Safaricom kuendesha huduma...

Share na:

Ethiopia imeipatia kampuni kubwa ya mawasiliano ya Safaricom leseni ya kuendesha huduma za pesa kwa simu na kuifanya kuwa kampuni ya kwanza ya kigeni kupata kibali kama hicho katika taifa hilo lenye watu wengi.

Safaricom ilizindulia huduma zake mwezi Agosti mwaka jana nchini Ethiopia, ambayo kwa miaka mingi imekuwa mojawapo ya soko kubwa lililofungwa katika bara la Afrika.

Kampuni ya simu ya Ethio inayomilikiwa na serikali ilikuwa mtoa huduma pekee wa huduma za mawasiliano ya simu na kutuma na kupokea pesa kwa njia ya simu katika nchi yenye zaidi ya watu milioni 110.

Endelea Kusoma

Kijana Edward awebwa ahukumiwa miaka 6 jela nchini Uganda, kwa kumtukana rais

Chaguo la Mhariri

Habari Mpya