Benki ya NCBA kununua kampuni ya Bima ya AIG Benki ya NCBA nchini Kenya imetangazaa azma ya kununua hisa zilizobaki za kampuni ya Bima ya AIG Kenya kwa dola milioni 13 za marekani. Biashara, Uchumi September 28, 2023 Soma Zaidi
Kampuni ya Kipakistan yapata Kandarasi NEOM September 28, 2023 Biashara, Uchumi Mji wa Neom nchini Saudi Arabia, unaotarajiwa kuwa na urefu wa kilomita 170 na upana wa mita 200 na
Kenya kujenga mtambo wa nyuklia kuanzia 2027 September 27, 2023 Nishati Serikali ya Kenya imetangaza mpango wake wa kujenga kinu cha nyuklia ili kukuza uzalishaji na kuhakikisha matumizi ya nishati safi
B.O.T kuwawezesha mitaji wachimbaji wa dhahabu September 25, 2023 Madini, Nishati Benki kuu ya Tanzania inatarajia kuwawezesha mitaji wachimbaji wa madini ili kuongeza wa dhahabu ambayo hununuliwa na Benki hiyo
MNADA wa vitalu vya gesi mwakani September 24, 2023 Biashara, Uchumi Mamlaka ya Udhibiti wa Mkondo wa Juu wa Petroli nchini Tanznaia upo katika maandalizi ya mnada wa vitalu 26 unaotarajiwa
Wananchi wadai kusitishwa matumizi ya petroli U.S September 18, 2023 Nishati Wananchi mjini New York wameandamana wakimtaka Raisi Joe Biden asitisha matumizi ya mafuta ya petroli nchini Marekani
Rais Samia: Mtwara ndio bandari ya korosho September 17, 2023 Biashara, Habari, Usafiri Rais Samia ataka korosho zote zipitie bandari ya mtwara baada ya ukarabati. Na mpango wa kuongeza bandari ya bidhaa nyingine
Bei ya Mafuta Kenya yazidi kupanda kama Tanzania September 15, 2023 Nishati Bei ya mafuta nchini Kenya imepanda tena Kwa mara nyingne baada ya ongezeko la Kodi ya thamani kwa asilimia 16
KSK yanunuliwa na Delo Group ya Urusi September 15, 2023 Biashara, Habari Katika kuondoa ushiriki wao wa kibiashara nchini Urusi, kampuni ya Cargill yauza hisa zake za KSK kwa msafirishaji, Delo Group
Kariakoo wapewa mbinu kuepuka bidhaa feki September 14, 2023 Biashara Wafanyabiashara wa Kariakoo jijini Dar es salaam wametakiwa kuagiza bidhaa ambazo sio bandia ili kuepuka kuharibu biashara
Erdogan: Nafaka za “Black Sea” zinazihitajika September 10, 2023 Biashara, Uchumi Raisi Erdogan anaendeleza mazungumzo ya nafaka za Black Sea, Hajakata tamaa na anaamini Ukraine na Urusi watarudi tena katika mpango
Waziri Mkuu atoa maagizo kwa Dkt Biteko kuhusu mafuta September 7, 2023 Nishati Waziri Mkuu amemuagiza Naibu Waziri Mkuu kuhakikisha anashughulikia suala la mafuta na kutoa taarifa kwa wananchi baada ya wiki moja