Wananchi wadai kusitishwa matumizi ya petroli U.S Wananchi mjini New York wameandamana wakimtaka Raisi Joe Biden asitisha matumizi ya mafuta ya petroli nchini Marekani Nishati September 18, 2023 Soma Zaidi
Bei ya Mafuta Kenya yazidi kupanda kama Tanzania September 15, 2023 Nishati Bei ya mafuta nchini Kenya imepanda tena Kwa mara nyingne baada ya ongezeko la Kodi ya thamani kwa asilimia 16
Waziri Mkuu atoa maagizo kwa Dkt Biteko kuhusu mafuta September 7, 2023 Nishati Waziri Mkuu amemuagiza Naibu Waziri Mkuu kuhakikisha anashughulikia suala la mafuta na kutoa taarifa kwa wananchi baada ya wiki moja
Ruto aingia kwenye mkutano na gari ya umeme September 5, 2023 Nishati, Siasa, Teknolojia Raisi wa Kenya William Ruto ameonesha jinsi anavyothamini ubunifu na ukuaji wa Teknolojia kwa kuamua kutumia gari ya umeme kwenda
Baadhi ya maeneo kukosa umeme Dar kuanzia Septemba 1 August 31, 2023 Jamii, Nishati Shirika la Umeme Tanzania TANESCO limetangaza kuwa hakutakuwa na umeme katika baadhi ya maeneo ya Dar es salaam
kutumia kuni kwa siku ni sawa na kuvuta sigara 300 August 18, 2023 Nishati Naibu spika wa Bunge la Tanzania Mhe Azam Zungu amesema matumizi ya kuni au mkaa Kwa siku moja ni sawa
Serikali ya Kenya yarudisha ruzuku ya mafuta August 15, 2023 Nishati Serikali nchini Kenya imebadilisha msimamo wake na kuuamua kurudisha ruzuku ya mafuta huku ikipambana bei ya bidhaa hiyo isipande
Bei ya petrol yazidi kupanda Zanzibar August 9, 2023 Nishati Mamlaka ya Udhibiti wa huduma za nishati na maji Zanzibar ZURA imetangaza kupanda kwa bei ya mafuta inayoanza kutumika hii
EWURA yatangaza kupanda kwa bei ya mafuta August 2, 2023 Nishati Kushuka kwa shilingi dhidi ya dola kumesababisha bei ya mafuta ya petrol pamoja na dizeli kupanda
Kuhusu nishati ya umeme ukweli utatawala July 31, 2023 Nishati Waziri wa Nishati Januari Makamba amesema katika suala la nishati ya umeme hawatotoa taarifa yoyote ya uongo kwa wananchi hata
Bwawa la Mwl Nyerere halitapunguza gharama za umeme July 27, 2023 Nishati Kukamilika kwa bwawa la kuzalisha umeme la Julius Nyerere hakutapunguza bei ya umeme kwa wateja
Watu 8 wafariki baada ya lori la mafuta kulipuka July 24, 2023 Maafa, Nishati Watu nane wamefariki baada ya lori lililobeba mafuta kuanguka pembezoni mwa barabara na baadae kulipuka moto.
Mwanzilishi wa Telegram akamatwa Ufaransa Ulaya August 25, 2024 Mwanzilishi wa Telegram mwenye asili ya kirusi amekamatwa nchini Ufaransa siku ya
Hitilafu ya mfumo wa Crowdstrike yasimamisha dunia July 19, 2024 Anguko la mfumo wa Crowdstrike umesababisha kapuni nyingi duniani kushindwa kutoa huduma