Waziri Mkuu wa Slovakia aonekana baada ya shambulio la risasi Waziri Mkuu wa Slovakia aonekana kwenye hotuba yake kupitia mitandao wiki 3 baada ya shambulio la kujaribu kutaka kumuua kwa risasi Handlova Afya, Habari, Siasa, Uhalifu June 6, 2024 Soma Zaidi
Mahakama ya Islamabad yabatilisha hukumu ya Imran Khan June 4, 2024 Habari, Siasa, Uhalifu Mahakama Kuu ya Islamabad nchini Pakistan imebatilisha hukumu ya kifungo cha miaka 10 kwa Imran Khan na Shah Mahmood Qureshi.
Waziri Mkuu wa Slovakia anusurika jaribio la kumuua May 16, 2024 Siasa, Uhalifu Waziri Mkuu wa Slovakia amejeruhiwa vibaya katika jaribio lakutaka kumuua kwenye mji wa handlova baada ya kurushiwa risasi 5 siku
Ghana: Mahakama kujadili mswada wa LGBTQ+ May 9, 2024 Jamii, Uhalifu Mahakama kuu ya Ghana ipo kwenye majadiliano juu ya pingamizi dhidi ya sheria inayopinga ushoga nchini humo
Nyara za Serikali zawasababishia kifungo cha miaka 20 May 7, 2024 Maafa, Mazingira, Uhalifu, Utalii Mahakama imewapa adhabu ya miaka 20 jela kwa kila mmoja watuhumiwa wawili wa ujangili kwa kukutwa na nyara za serikali
GAZA: Kichanga chaokolewa tumboni kwa mama aliyefariki April 22, 2024 Maafa, Uhalifu Kichanga chaokolewa kwa upasuaji wa dharura kumtoa katika tumbo la mama yake aliyefariki utokana na shambulizi na Israel katika mji
Raia wa Poland akamatwa katika njama ya kumuua Zelensky April 19, 2024 Siasa, Uhalifu Raia wa Poland akamatwa akihusishwa na njama za Urusi kutaka kumuua Rais wa Ukraine Volodmyr Zelensky
Mtoto wa miaka 12 akamatwa kwa ulawiti Njombe April 13, 2024 Jamii, Uhalifu Mtoto wa miaka 12 ashikiliwa na Polisi mkoani Njombe kwa tuhuma za kumlawiti mwenzie wa miaka 10
Polisi: Watano wafariki kwa kuchomwa kisu jijini Sydney April 12, 2024 Jamii, Maafa, Uhalifu Polisi jijini Sydney imetoa taarifa ya vifo vya watu watano baada ya kushambuliwa na kisu kwenye moja ya maduka katika
Polisi Tanzania kushiriki mafunzo na nchi nyingine 14 April 11, 2024 Jamii, Uhalifu Polisi Tanzania kuwa mwenyeji wa mafunzo ya pamoja kwa nchi 14 za Afrika mashariki ili kuongeza uwezo wa maafisa wa
Mama lishe Jela kwa kuishi kinyumba na mtoto April 11, 2024 Jamii, Uhalifu Mtwara: Mama lishe afungwa miaka 15 kwa kuishi kinyumba na mtoto wa miaka 15 na watu wengine wanne wafungwa miaka
TCRA: Kumtag mtu picha chafu ni uhalifu April 9, 2024 Uhalifu Katika mafunzo ya sheria ya uchaguzi kwa waandishi wa habari mkoani Simiyu Meneja wa TCRA amesema kuwa kumtag mtu picha
Mwanzilishi wa Telegram akamatwa Ufaransa Ulaya August 25, 2024 Mwanzilishi wa Telegram mwenye asili ya kirusi amekamatwa nchini Ufaransa siku ya
Hitilafu ya mfumo wa Crowdstrike yasimamisha dunia July 19, 2024 Anguko la mfumo wa Crowdstrike umesababisha kapuni nyingi duniani kushindwa kutoa huduma