ZINAZOVUMA:

Ulaya

Lionel Messi amesimamishwa kwa muda wa wiki mbili kwa kosa la kuondoka kambini kwenda kwenye biashara zake binafsi Saudi Arabia
Shirikisho la mpira nchini Ufaransa limekataa kusimamisha mechi ili kuwapa nafasi wachezaji wa kiislamu walio katika funga waweze kufuturu.
Klabu ya Chelsea kutoka ligi kuu ya uingereza imewafuturisha waislamu walio karibu na eneo la uwanja wao wa Stamford Bridge.
Nyota wa zamani wa Arsenal na Real Madrid Mesut Ozil (34) ametangaza kustaafu kucheza mpira wa kulipwa baada ya majeraha
Waamuzi wa ligi ya uingereza wameruhusiwa kusimamisha mchezo ili kuwapa nafasi wachezaji walio funga kufuturu ndani ya mwezi wa Ramadhani.
Timu ya Chelsea itawaalika waislamu wote siku ya jumapili tarehe 26 mwezi March Kwa ajili ya kufuturu kwa pamoja.

Chaguo la Mhariri

Habari Mpya

Mwanzilishi wa Telegram mwenye asili ya kirusi amekamatwa nchini Ufaransa siku ya