11 wauawa Mashariki ya DRC, ADF wadaiwa kuhusika 11 wauliwa kwenye mashambulizi mashariki mwa DRC, ADF kuhusishwa na mashambulizi ya maeneo hayo ya Sayo na Matembo Uhalifu March 25, 2024 Soma Zaidi
Matokeo ya Awali – Uchaguzi Mkuu wa Senegal March 25, 2024 Siasa Bassirou Diomaye Faye anaongoza mbio za urais Senegal kama ilivyotangazwa katika matokeo ya awali Radio Futurs Médias (RFM)
Zimbabwe: Maelfu ya vyeti vya ndoa ni batili March 22, 2024 Jamii Wanandoa nchini Zimbabwe wagundua vyeti vya usajili wa ndoa zao ni batili, baada ya mabadiliko ya sheria ya ndoa ya
Tanzania, China na Uholanzi kuendeleza ushirikiano worldveg March 20, 2024 Kilimo, Teknolojia Katibu Mkuu wizara ya kilimo awasisitiza watafiti wa mbogamboga worldveg kufanya jitihada watimize malengo ya kituo
PACOME aitwa Timu ya Taifa March 19, 2024 Michezo Pacome aitwa timu ya taifa ya Ivory Coast, baada ya kuwa mchezaji bora hatua ya makundi ya CAF Champions League
Ndumbaro awaonya watakaovaa jezi za upinzani March 19, 2024 Habari, Michezo Waziri wa Michezo Damas Ndumbaro awaonya kutoshabikia timu pinzani ikiwemo kuvaa jezi katika mechi za Robo fainali za CAF champions
Mabasi ya Umma yasitisha huduma Kinshasa March 19, 2024 Nishati Wakazi wa Kinshasa wapata kero ya usafiri kutokana na mafuta, huku bodaboda wakiingiza fedha lukuki kwa uhitaji wa usafiri jumatatu
Intaneti imekatika mataifa kadhaa ya afrika March 16, 2024 Biashara, Jamii, Teknolojia, Uchumi Mashirika ya mwenenndo wa intaneti yametangaza kupungua kwa kasi ya intaneti barani Afrika kutokana na kukatika kwa mkongo wa baharini
Kiongozi wa sudan aapa kuwawinda wanajeshi wa RSF March 14, 2024 Siasa Mkuu wa Baraza tawala la Sudan Abdel Fattah Al-Burhan ameapa kuendelea kuwawinda wanajeshi wa Rapid Support Forces (RSF) kote nchini.
Sanamu la Mwl. Nyerere Kusimikwa Ofisi za AU Ethiopia February 17, 2024 Habari Rais Samia Suluhu hassan anatarajiwa kushuhudia uzinduzi wa sanamu la Mwl. Nyerere katika moja ya bustani za Makao Makuu ya
LAM – Msumbiji yaibua ubadhirifu wa fedha February 15, 2024 Habari Shirika la Ndege la Msumbiji lakubali kudaiwa mafuta. Pia limeibua ubadhirifu wa fedha kwa njia tofauti katika shirika hilo.
Msumbiji yaakhirisha safari za ndege February 14, 2024 Uchumi Msumbiji yaakhirisha safari tano za ndege kutokana na uhaba wa mafuta, huku ikiaminika kuwa sababu ni deni kubwa la mafuta