ZINAZOVUMA:

Ndumbaro awaonya watakaovaa jezi za upinzani

Waziri wa Michezo Damas Ndumbaro awaonya kutoshabikia timu pinzani ikiwemo...

Share na:

Waziri wa Michezo Mhe. Damas Ndumbaro amewaasa mashabiki wa timu za Tanzania kutoshabikia timu pinzani kwenye mechi za robo fainali za CAF Champions League. Na kusisitiza uzalendo kwa kushabikia timu za hapa nyumbani ili kuleta hamasa kwa timu zetu kufanya vizuri.

Waziri Ndumbaro ametoa onyo kwa mtanzania yeyote akivaa jezi ya timu pinzani basi itabidi aoneshe passport yake ya uraia wa nchi anayoenda kushabikia na akishindwa basi hatoingia uwanjani

Yanga atacheza na Mamelod Sundowns tarehe 30 nyumbani, Simba atacheza na Al Ahly mzunguko wa pili tarehe 5 mwezi wa nne nyumbani.Kama waziri alivosisitiza uzalendo kwanza na utaifa mbele.

Endelea Kusoma

Mfalme Salman wa Saudi Arabia aongoza kikao cha baraza la Mawaziri baada

Chaguo la Mhariri

Habari Mpya