Sierra Leone: wachimba makaburi kutengeneza dawa za kulevya Watengeneza madawa waanza kuchimba makaburi li kupata mifupa kama kiambato cha dawa za kulevya aina ya Kush au Zombie nchi Sierra Leone Afya, Jamii April 9, 2024 Soma Zaidi
90 wafa maji wakikimbia kipindupindu Msumbiji April 8, 2024 Afya Zaidi ya watu 90 wafa maji nchini Msumbiji katika harakati za kukimbia mlipuko wa Kipindipindu baada ya boti waliyopanda kuzama baharini
Raia 17 wa Ethiopia wakamatwa Manyara April 8, 2024 Jamii, Uhalifu, Usafiri Raia 17 wa Ethiopia wakamatwa na Polisi Mkoani Manyara wakielekea Afrika Kusini bila vibali, Jeshi hilo litawakaidhi watu hao kwa Uhamiaji
Bi Mapisa, Spika Afrika Kusini ajiuzulu kwa tuhuma za Rushwa April 4, 2024 Siasa Spika wa Bunge la Afrika Kusini kwa sasa na waziri wa zamani wa Ulinzi amejiuzulu nafasi hiyo kupisha uchunguzi wa
Mayele aonekana akiwa na wana msimbazi Misri April 4, 2024 Michezo Fiston Mayele azua gumzo kwenye medani ya soka Tanzania baada ya kuonekana kwenye mitandao akisalimiana na wachezaji wa Simba
Rais Diomaye amteua Ousmanne Sonko kuwa Waziri Mkuu April 3, 2024 Siasa Ousmane Sonko ateuliwa kuwa waziri mkuu wa serikali mpya ya Rais Diomaye faye wa Senegal, na kutilia mkazo kauli mbiu
Wanajeshi wa Afrika Kusini walalamikia ukosefu wa vifaa DRC April 2, 2024 Habari Wanajeshi wa Afrika Kuisni waliopelekwa nchini DRC kwa ajili ya kupambana na vikosi vya M23 walalamika kukosa vifaa na mafunzo
TINUBU aongoza mazishi ya wanajeshi waliouwawa machi 14 March 31, 2024 Habari Rais Bola Tinubu aongoza mazishi ya wanajeshi wa Nigeria waliouwawa katika shambulio la Delta kusini mwa nchi hiyo
Liberia: Wafariki baada ya mgodi kuporomoka March 27, 2024 Maafa, Madini wachimbaji waangukiwa na kifusi cha mgodi kusini mwa Liberia katika jimbo la River Cess na kusababisha vifo kadhaa.
Rais Samia ampongeza Rais Mteule wa Senegal March 26, 2024 Jamii, Siasa Rais Samia ampongeza rais Mteule wa Senegal Bassirou Diomaye Faye kwa ushindi wa Kishindo katika uchaguzi wa Urais nchini
Mkongwe wa vichekesho Nollywood afariki na miaka 62 March 25, 2024 Jamii Wiki chache baada ya kufariki Mr. Ibu, msanii mwingine wa Nollywood nae amefariki kutokana na kufeli kwa figo
NIGERIA: Zaidi ya wanafunzi 130 waliotekwa wameokolewa March 25, 2024 Jamii, Maafa, Siasa Wanafunzi 136 waliotekwa mwezi uliopita waokolewa na majeshi ya Nigeria katika mji wa Zamfara karibu na Kaduna bila majeraha.