ZINAZOVUMA:

Mayele aonekana akiwa na wana msimbazi Misri

Fiston Mayele azua gumzo kwenye medani ya soka Tanzania baada...

Share na:

Mshambuliaji wa klabu ya Pyramids ya nchini Misri aonekana kwenye video mitandaoni akisalimiana na wachezaji wa Simba bila kujali hali hiyo itazua gumzo kwa wadau wa soka nchini Tanzania.

Gumzo hilo limetokana na Mayele kuwahi kuchezea klabu ya Yanga, na kuwahi kuwa ktika wachezaji wenye ufalme wao kwenye klabu hiyo.

Dosari a uhusiano wa Mayele na Yanga uliingia hivi karibuni baada ya kuonekana kama Mayele anawalaumu Yanga, kwa yeye kutofanya vizuri katika klabu yake mpya ya Pyrammids nchini Misri.

Endelea Kusoma

Kijana Edward awebwa ahukumiwa miaka 6 jela nchini Uganda, kwa kumtukana rais

Chaguo la Mhariri

Habari Mpya