Serikali yawasilisha pingamizi la kulipa Bilioni 267 Serikali ya Tanzania kupitia Mwanasheria wake Mkuu Eliezer Felesh imewasilisha pingamizi la hukumu ya kuilipa kampuni ya 'Indiana Resources' Biashara, Madini, Uchumi July 31, 2023 Soma Zaidi
Waziri Mkuu awaalika wawekezaji sekta ya mbolea July 28, 2023 Biashara, Kilimo, Uchumi Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewaalika wawekezaji waliobeba waje kuwekeza kwenye sekta ya mbolea ili kufufua viwanda vya mbolea nchini
Bwawa la Mwl Nyerere halitapunguza gharama za umeme July 27, 2023 Nishati Kukamilika kwa bwawa la kuzalisha umeme la Julius Nyerere hakutapunguza bei ya umeme kwa wateja
Wafanyakazi wafurahia kupandishwa kwa mishahara July 27, 2023 Biashara, Jamii, Uchumi Shirikisho la Vyama vya Wafanyaka nchini limewataarifu wafanyakazi kuwa nyongeza ya mishahara itaanza kuanzia mwezi ujao
Mambo moto kesi ya bandari July 26, 2023 Biashara, Uchumi Mawakili wa pande zote wakubaliana mambo sita muhimu ambayo mahakama inatakiwa kuyatolea ufafanuzi
Kenya Tupo pamoja nao -STAMICO July 25, 2023 Madini Shirika la Madini Tanzania limeahidi kushirikiana na sekta ya madini kenya, ni hatua ya kukuza sekta hiyo nchini Kenya na
Watu 8 wafariki baada ya lori la mafuta kulipuka July 24, 2023 Maafa, Nishati Watu nane wamefariki baada ya lori lililobeba mafuta kuanguka pembezoni mwa barabara na baadae kulipuka moto.
Serikali yahakikishiwa uwepo wa mafuta July 24, 2023 Nishati Serikali yahakikishiwa uwepo wa mafuta na wamiliki wa maghala baada ya kufanya ziara ya kukagua maghala hayo
Mtandao wa ‘Twitter’ kuja na muonekano mpya July 24, 2023 Biashara, Teknolojia Mtandao wa twitter umetangaza kuja na muonekano mpya ambao utakuja na jina jipya la mtandao huo
BRICS yapanga kuishusha dola July 21, 2023 Biashara, Siasa, Uchumi Umoja wa nchi za BRICS umepanga kuja na sarafu mpya ambayo itashindana na dola katika biashara za kimataifa
Sekta ya madini kipaumbele cha bajeti – Biteko July 20, 2023 Madini Waziri wa Madini Mhe Dotto Biteko amesema kuwa serikali itahakikisha kuwa inatatua changamoto zote za sekta ya madini
Serikali yawasilisha pingamizi kesi ya bandari July 20, 2023 Biashara, Uchumi Serikali ya Tanzania imewasilisha pingamizi lake la kuitaka Mahakama Kuu Kanda ya Mbeya kutupilia mbali kesi ya bandari
Mwanzilishi wa Telegram akamatwa Ufaransa Ulaya August 25, 2024 Mwanzilishi wa Telegram mwenye asili ya kirusi amekamatwa nchini Ufaransa siku ya
Hitilafu ya mfumo wa Crowdstrike yasimamisha dunia July 19, 2024 Anguko la mfumo wa Crowdstrike umesababisha kapuni nyingi duniani kushindwa kutoa huduma