Rais Samia Ahimiza wananchi kulipa Kodi Katika Baraza la Idd el Fitr Rais samia awakemea wafanyabiashara wakwepa kodi, wasiotoa risiti na wanunuzi wasiodai ririti pindi wanaponunua Biashara, Jamii, Uchumi April 11, 2024 Soma Zaidi
Dkt. Mwigulu: Mikopo ya Halmashauri imerejeshwa April 9, 2024 Biashara, Habari, Jamii, Uchumi Waziri wa Fedha Dkt. Mwigulu Nchemba amewatangazia wananchi wa Iramba kuwa Mikopo ya Asilimia 10 ya pato la Halmashauri imerejeshwa
DAR ES SALAAM: Bei ya mafuta yapaa April 3, 2024 Jamii, Nishati Bei ya mafuta Dar es Salaam imepanda kutokana na mafuta hayo kununuliwa kwa fedha za kigeni (Euro) baada ya dola
Umeme bwerere yasema TANESCO March 27, 2024 Nishati Shirika la Umeme Tanznaia TANESCO limesema kutokana na uzalishaji wa umeme unaoendelea nchini, tunakokwenda upatikanaji wake upo vizuri
Liberia: Wafariki baada ya mgodi kuporomoka March 27, 2024 Maafa, Madini wachimbaji waangukiwa na kifusi cha mgodi kusini mwa Liberia katika jimbo la River Cess na kusababisha vifo kadhaa.
TANZANIA, KENYA kutatua vikwazo vya kibiashara visivyo vya kiushuru March 25, 2024 Biashara Tanzania na Kenya zimetia saini makumaliano juu ya mambo kadhaa katika kutatua vikwazo mbalimbali vya kibiashara baina ya nchi hizo
Waziri afuta leseni za vitalu vya Madini March 23, 2024 Madini Waziri Mavunde atoa maagizo ya kufuta leseni za wasioendeleza maeneo yao ya uchimbaji madini, na kusema kuwa nyingine zitafutwa ziendelezwe
Benki ya biashara Ethiopia yamwaga dolari kwa wateja March 19, 2024 Biashara Kutokana na hitilafu katika mifumo ya ATM wateja wa Benki ya Biashara ya Ethiopia wamejichukulia mamilioni ya dola kutoka katika
Mabasi ya Umma yasitisha huduma Kinshasa March 19, 2024 Nishati Wakazi wa Kinshasa wapata kero ya usafiri kutokana na mafuta, huku bodaboda wakiingiza fedha lukuki kwa uhitaji wa usafiri jumatatu
BASHE : Marekani hata bongo mchele na maharagwe vipoo March 18, 2024 Biashara, Kilimo, Uchumi Waziri Bashe mwenye dhamana ya Kilimo nchini awataka wamarekani kuja kununua mchele na maharagwe kwa wakulima wa Tanzania.
Kamati ya Bunge yapongeza Serikali na TASAF March 16, 2024 Biashara, Jamii, Mazingira, Siasa Kamati ya Bunge ya ya Utawala, Katiba na Sheria pamoja na Mhe. Ridhwani Kikwete waipongeza TASAF kwa miradi Ruvuma na
Intaneti imekatika mataifa kadhaa ya afrika March 16, 2024 Biashara, Jamii, Teknolojia, Uchumi Mashirika ya mwenenndo wa intaneti yametangaza kupungua kwa kasi ya intaneti barani Afrika kutokana na kukatika kwa mkongo wa baharini