ZINAZOVUMA:

Dkt. Mwigulu: Mikopo ya Halmashauri imerejeshwa

Waziri wa Fedha Dkt. Mwigulu Nchemba amewatangazia wananchi wa Iramba...

Share na:

Waziri wa Fedha Dk. Mwigulu Nchemba amesema serikali imerejesha asilimia kumi za mikopo kwa makundi maalumu wakiwemo wanawake na vijana

Waaziri Nchemba ameyasema hayo wilayani Iramba mkoani singida wakati akiongea na wananchi

DK, Nchemba amesema mikopo hiyo itakwenda kusaidia makundi hayo katika shughuli zao za kiuchumi ili waweze kujikwamua kiuchumi na kumudu gharama za maisha

“Jambo moja la msingi la kuanzia raisi wetu ameelekeza zile asilimia Kumi za vijana wanawake na watu wa makundi maalumu zinarejea tena kwahiyo wale mnaofanya shughuli za ujasiriamali mjiandae mikopo ile inakuja” amesa Waziri Nchemba

Endelea Kusoma

Waziri Mkuu wa Slovakia amejeruhiwa vibaya katika jaribio lakutaka kumuua kwenye mji

Chaguo la Mhariri

Habari Mpya