Dhoruba yahamisha maelfu ya Guangdong, China April 22, 2024 Maafa Mafuriko yaliyotoea kusini mwa nchi ya China katika jimbo la Guangdong limesababisha kuhama kwa maelfu wa wakaazi wa jimbo hilo
whatsApp Threads zatolewa App Store ya China April 19, 2024 Biashara, Uchumi App Store yatoa WhatsApp na Threads katika App Store yake kwa waterja wa China ingawa bado kuna programu nyingine nyingi
Tanzania, China na Uholanzi kuendeleza ushirikiano worldveg March 20, 2024 Kilimo, Teknolojia Katibu Mkuu wizara ya kilimo awasisitiza watafiti wa mbogamboga worldveg kufanya jitihada watimize malengo ya kituo
Kilichojificha kupotea maafisa wa ngazi za juu China September 25, 2023 Siasa Kumekua na muendelezo wa kupotea kwa maafisa mbalimbali wa ngazi za juu nchini China, Je Rais Xi Jinping anahusika?
Sababu za Rais wa China kutohudhuria mkutano wa G20 September 5, 2023 Siasa Mgogoro kati ya India na China watajwa kuwa sababu ya Rais Xi Jinping kutohudhuria mkutano wa G20 wiki ijayo
Zaidi ya 29 wafariki kwa mafuriko China August 11, 2023 Jamii Idadi ya watu waliofariki na mafuriko inazidi kuongezeka kaskazini mashariki mwa China
Biden asitisha uwekezaji wa teknolojia China August 10, 2023 Teknolojia Raisi wa Marekani Joe Biden ametia saini agizo linalozuia makampuni ya Marekani kwenda kuwekeza nchini China
Waziri wa Mambo ya Nje wa China amepotea July 19, 2023 Jamii, Siasa Waziri wa Mambo ya Nje wa China amepotea tangu mwezi uliopita huku pia mtangazaji maarufu akiwa haonekani alipo
Mvua kubwa zaua 15 China July 6, 2023 Jamii, Maafa Shirika la habari la nchini China limeripoti vifo vya watu 15 na wanne wakiwa hawajulikani walipo kwa sababu ya mvua kubwa.
China yatengeneza ndege zake yenyewe May 27, 2023 Teknolojia Shirika la ndege la nchini China limekua shirika la kwanza kutengeneza ndege zake kupitia kampuni ya nchini humo
Kenya yakanusha kudukuliwa na China May 27, 2023 Siasa, Teknolojia Kenya imekanusha kudukuliwa na China kwa miaka mitatu kama ambavyo iliripotiwa na shirika la habari la 'Reuters'
China yaipiga marufuku kampuni ya Marekani May 22, 2023 Siasa, Teknolojia China imepiga marufuku bidhaa zinazotengenezwa na kampuni ya teknolojia ya micron kutoka nchini Marekani
Mwanzilishi wa Telegram akamatwa Ufaransa Ulaya August 25, 2024 Mwanzilishi wa Telegram mwenye asili ya kirusi amekamatwa nchini Ufaransa siku ya
Hitilafu ya mfumo wa Crowdstrike yasimamisha dunia July 19, 2024 Anguko la mfumo wa Crowdstrike umesababisha kapuni nyingi duniani kushindwa kutoa huduma
Uganda: Afungwa miaka 6 jela kwa kumtukana Rais Afrika, Afrika Mashariki July 11, 2024 Kijana Edward awebwa ahukumiwa miaka 6 jela nchini Uganda, kwa kumtukana rais