ZINAZOVUMA:

Maafa

Nchi nne za G20 zaridhia kuwa na kodi kwa matajiri wa dunia nzima ili kuapata fedha za kupambana na majanga mbalimbali yakiwemo ya tabianchi.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema kuwa vifo vilivyotokana na Mvua kubwa inayoendelea kunyesha nchini vimefika 155 na kuna majeruhi zaidi ya 230.
Israel yajibu mashambulizi ya Iran kwa kupiga makombora mji unaoaminiwa kuwa ni Ngome ya Nyuklia ya Iran siku ya Ijumaa

Chaguo la Mhariri

Habari Mpya