PAPA FRANCIS: Amani hailetwi na silaha Papa akemea vikali Mashambulizi ya Ukanda wa Gaza pamoja na Ukraine. atoa wito kusitishwa kwa Mashambulizi dhidi ya maeneo hayo. Jamii March 31, 2024 Soma Zaidi
Uingereza: Wabunge washinikiza Israel asiuziwe silaha March 29, 2024 Habari, Siasa Wabunge wa Uingereza waitaka serikali yao kuacha kuiuzia Israel silaha, katika kupinga uvamizi na mashambulizi ya israel dhidi ya Gaza
Utata wa wahusika shambulizi la ukumbi Moscow March 25, 2024 Maafa, Uhalifu Urusi inapeperusha bendera nusu mlingoti, huku ikizozana na Media za magharibi juu ya nani amehusika na shambulio la ukumbi wa
Watu 60 wamekufa shambulizi la Moscow March 23, 2024 Maafa Shambulio la ukumbi wa Tamasha la Picnic nchini Urusi katika mji wa Moscow limesababisha vifo takriban 60, zimesema taarifa kutoka FSB
Ulaya waandamana kupinga mashambulizi ya Gaza February 18, 2024 Jamii Maelfu ya watu waandamana katika miji mikubwa ya Ulaya kama London, Madrid na Istanbul ili kupinga mashambulizi yanayoendelea huko Gaza.
NATO kununua ndege mpya za RADA November 17, 2023 Teknolojia Nato kununua ndege za Rada mpya kama mpango wa kujizatiti ki intelijensia, baada ya kutumia rada zake za mwanzo kwa
Nchini Ufaransa na Ujerumani, wafuasi wa Wapalestina wanasema wanapambana ili sauti zao zisikike. October 20, 2023 ISRAEL - GAZA, Siasa Huku maelfu ya watu wakijitokeza mitaani kote duniani tarehe 13 Oktoba kuunga mkono Wapalestina, maandamano yote kama hayo nchini Ujerumani
Mohamed Salah atoa wito kukomesha ‘mauaji’ mapigano ya Israel na Gaza October 19, 2023 ISRAEL - GAZA, Michezo Mwanasoka wa Misri na Liverpool Mohamed Salah ametoa wito wa kukomesha "mauaji" yanayotokea katika mapigano ya Israel na Gaza.
Mashabiki wa Celtic Waahidi ‘Unga mkono Bila Shaka’ kwa Palestina Licha ya Upinzani October 13, 2023 ISRAEL - GAZA, Michezo Washabiki wa Klabu ya Mpira ya Celtic ya Scotland wameahidi kuendelea kuonyesha mshikamano wao na watu wa Palestina na "kuonyesha
Urusi kuonya nchi za Magharibi October 7, 2023 Siasa Urusi yatoa onyo kwa mataifa ya magharibi yenye nia ya kuishambulia, kuwa Urusi watawachakaza kwa makomborayoyote atakayewashambulia.
Polisi wagoma kutumia silaha kisa mwenzao kushtakiwa September 25, 2023 Jamii Polisi jijini London wamegoma kutekeleza majukumu yao Kwa kutumia silaha baada ya mwenzao kushtakiwa
Crimea kuuza nyumba ya Zelensky September 18, 2023 Habari Serikali ya eneo huru la Crimea pembezoni mwa Ukraine, limeanza kupiga mnada nyumba mbalimbali za watu wa Ukraine ikiwemo ya