ZINAZOVUMA:

Raisi Samia azindua mkutano wa nguvu kazi Afrika

Raisi wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu...

Share na:

Rais Samia Suluhu Hassan amezindua mkutano wa nguvu kazi Afrika unaotarajiwa kufanyika Tanzania Julai 25-26, 2023 kujadili namna ya kuwawezesha vijana katika bara la Afrika.

Mkutano huo utawaleta pamoja wakuu wa nchi na Serikali za Afrika kubadilishana uzoefu na kutoka na azimio la pamoja juu ya namna ya kuboresha nguvu kazi.

Akizungumza wakati wa hafla hiyo, Rais Samia amesema mkutano huo utakuwa jukwaa la kipekee kwa wakuu wa nchi za Afrika kubadilishana uzoefu juu ya namna ya kuwezesha nguvu kazi katika mataifa yao.

Endelea Kusoma

Waziri Mkuu wa Slovakia amejeruhiwa vibaya katika jaribio lakutaka kumuua kwenye mji

Chaguo la Mhariri

Habari Mpya