Rais Samia: Mtwara ndio bandari ya korosho Rais Samia ataka korosho zote zipitie bandari ya mtwara baada ya ukarabati. Na mpango wa kuongeza bandari ya bidhaa nyingine eneo la Mgao Biashara, Habari, Usafiri September 17, 2023 Soma Zaidi
Rais Samia azindua hospitali ya rufaa, kanda ya kusini September 15, 2023 Afya Raisi Samia Suluhu Hassani amezindua hospitali ya rufaa itakayohudumia mikoa ya kusini na nchi jirani
“Tumeimarisha mahakama ili kuondoa mlundikano wa kesi” September 15, 2023 Siasa Raisi Samia Suluhu Hassani amewataka majaji walioteuliwa na kuapishwa wakatende haki na kuhakikisha na kufanya kazi kwa ufanisi
Magonjwa yasiyoambukiza yanaiathiri zaidi jamii September 14, 2023 Afya Msemaji Mkuu wa serikali Gerson Msigwa amesema magonjwa yasiyoambukiza yamekuwa mzigo mkubwa kwa jamii
Rais Samia ateuliwa mjumbe wa bodi ya ushauri GCA September 14, 2023 Mazingira, Siasa Raisi wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassani ameteuliwa kuwa mjumbe wa bodi ya ushauri GCA
Kariakoo wapewa mbinu kuepuka bidhaa feki September 14, 2023 Biashara Wafanyabiashara wa Kariakoo jijini Dar es salaam wametakiwa kuagiza bidhaa ambazo sio bandia ili kuepuka kuharibu biashara
Taifa Stars wapewe maua yao kwa kufuzu AFCON – DKT.Samia kuwapa shumbe ya shilingi millioni 500 September 13, 2023 Michezo Timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars, imetimiza mafanikio makubwa kwa kufuzu kushiriki fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika
YARA waongeza virutubisho vya wanyama nchini September 12, 2023 Habari Yara Tanzania waongeza virutubisho vya wanyama, baada ya kuwa amoja na wakulima kwa muda mrefu nchini Tanzania.
Waziri Mkuu atoa maagizo kwa Dkt Biteko kuhusu mafuta September 7, 2023 Nishati Waziri Mkuu amemuagiza Naibu Waziri Mkuu kuhakikisha anashughulikia suala la mafuta na kutoa taarifa kwa wananchi baada ya wiki moja
Klabu ya Simba yaja na ‘Back to school’ September 5, 2023 Michezo Klabu ya soka ya Simba imekuja na mkakati mpya WA kutengeneza mashabiki shuleni uliopewa jina la 'Back to school'
Mkutano kujadili mabadiliko ya mifumo ya chakula Afrika September 5, 2023 Kilimo Mkutano Mkuu wa Mifumo ya Chakula barani Afrika umeanza rasmi hii Leo huku Tanzania ikiwa ndio mwenyeji wa mkutano huo
Tanzania ina jumla ya maprofesa 226 September 5, 2023 Elimu Hadi kufikia mwaka 2022 Tanzania ilikua na jumla ya maprofesa 226 Kati yao 163 wakiwa ni maprofesa washiriki