Hali ilivyo nchini India Hali imezidi kuwa mbaya kufuatia mafuriko yanayoendelea kuikumba nchi ya India na kupelekea uharibifu mkubwa wa mali na miundombinu Jamii, Maafa July 12, 2023 Soma Zaidi
Waziri Mkuu Thailand atangaza kustaafu July 12, 2023 Siasa Waziri Mkuu wa Thailand Pryaut Chan-o-Cha amesema hatogombea tena na ametangaza kuwa atastaafu siasa rasmi
Mvua kubwa zaua 15 China July 6, 2023 Jamii, Maafa Shirika la habari la nchini China limeripoti vifo vya watu 15 na wanne wakiwa hawajulikani walipo kwa sababu ya mvua kubwa.
Neuralink yaanza majaribio kuunganisha ubongo na kompyuta May 27, 2023 Teknolojia Kampuni ya Neuralink ya Elon Musk imepewa kibali na FDA kuanza majaribio ya kuunganisha ubongo na kompyuta
India kuthibitisha dawa kabla ya kuuzwa nje May 23, 2023 Afya Mamlaka ya dawa nchini India imeagiza dawa za kikohozi kuchunguzwa maabara kutokana na shutuma ya kusababisha kifo
Waziri Mkuu wa zamani wa Pakistani akamatwa May 9, 2023 Siasa Waziri Mkuu wa zamani wa Pakistani amekamatwa na maafisa wa kijeshi nje ya jengo la mahakama mjini Islamabad
Mwanzilishi wa Telegram akamatwa Ufaransa Ulaya August 25, 2024 Mwanzilishi wa Telegram mwenye asili ya kirusi amekamatwa nchini Ufaransa siku ya
Hitilafu ya mfumo wa Crowdstrike yasimamisha dunia July 19, 2024 Anguko la mfumo wa Crowdstrike umesababisha kapuni nyingi duniani kushindwa kutoa huduma