ZINAZOVUMA:

Israel yaapa kushambulia mji wa Rafah

Netenyahu aapa kuendeleza mashambulizi yake mji wa Rafah, na Mshirika...

Share na:

Israel yaapa ‘kuongeza shinikizo’ kwa Hamas, na mashambulizi ya ardhini dhidi ya kundi la wanamgambo wa Hamas hadi Rafah, mji wa kusini mwa Gaza kwenye mpaka na Misri, licha ya wito wa kimataifa wa kujizuia.

“Waziri Mkuu Binyamin Netanyahu anasema kwamba, ni kwa kuingia tu Rafah na kupigana na vikosi vya mwisho vya Hamas, ndipo Israeli itaweza kutangaza kile anachoita ushindi kamili,”

Haya yanajiri huku Marekani ikionekana kukaribia kukiwekea vikwazo kikosi cha kijeshi cha Isreali ultra-Orthodox kwa madai ya ukiukaji wa haki za binadamu katika Ukingo wa Magharibi, hatua ambayo Netanyahu aliikashifu kwa hasira kuwa “kilele cha upuuzi.”

Endelea Kusoma

Vyombo vya Habari nchini Iran vimeanza kutangaza kifo cha Rais Ebrahim Raisi,