ZINAZOVUMA:

IDA yawafunda vijana.

Taasisi ya Islamic Development Agency kwa kushirikiana na Taasisi ya vijana wa kiislamu TAMSYA wameandaa warsha maalumu ya kuzungumza na vijana waliopo vyuoni.

Wazazi kupatiwa elimu ya lishe.

Wazazi na walezi wanatakiwa kushirikiana na wataalamu mbalimbali ili kupatiwa elimu ya lishe pamoja na huduma muhimu za afya.

Zijue faida za Ramadhani.

“Hakika tungezijua faida na baraka zilizomo ndani ya mwezi mtukufu wa Ramadhani tungeliomba ikawa ni mwezi mzima”

Funga (swaumu) yake yamponza.

Mchezaji akosa nafasi ya kucheza sababu ya msimamo wake wa kutekeleza ibada ya funga ndani ya mwezi mtukufu wa Ramadhani.

Polepole apelekwa Cuba.

Raisi Samia amefanya mabadiliko ya vituo kwa mabalozi wawili na uteuzi wa Balozi mmoja watakaoiwakilisha Tanzania.

Ripoti ya C.A.G yaibua makubwa.

CAG aona mengi katika ukaguzi wake mwaka huu. Raisi apendekeza TTCL iwekeze muda katika wa jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassani leo tarehe 29 March 2023 amepokea ripoti ya Mkaguzi Mkuu wa hesabu za serikali C.A.G Charles Kichere.