Gharama ya mafuta yazidi kupanda Malawi Gharama za usafiri zimepanda mara mbili nchini Malawi huku wasafirishaji hao wakidai kutopata faida kutokana na gharama za mafuta kupanda. Nishati July 20, 2023 Soma Zaidi
Afrika Kusini inabinafsisha bandari yake July 19, 2023 Biashara, Uchumi Afrika Kusini inabinafsisha bandari yake ya Durban upande wa makontena kwa lengo la kuboresha shughuli na kuongeza ufanisi
Tanzania na Hungary kushirikiana sekta ya elimu July 18, 2023 Biashara, Elimu, Uchumi Serikali ya Tanzania na Hungary zimetia saini makubaliano juu ya ushirikiano wa nchi hizo mbili katika masuala ya elimu
India na UAE zakubaliana kutumia sarafu moja July 18, 2023 Biashara, Uchumi India na Umoja wa Falme za Kiarabu zimekubaliana kufanya biashara kwa kutumia sarafu ya India badala ya dola
Tanzania kulipa TZS bilioni 266 July 18, 2023 Biashara, Uchumi Kituo cha kimataifa cha Usuluhishi wa Migogoro ya Uwekezaji kimeiamuru Tanzania kuzilipa kampuni za uchimbaji wa madini
EWURA imesema kuwa Tanzania ina mafuta ya kutosha July 18, 2023 Biashara Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji EWURA imetoa onyo kwa wote wanao hodhi nishati ya mafuta
Maandamano UVCCM yapigwa ‘stop’ July 17, 2023 Biashara, Siasa, Uchumi Jeshi la polisi nchini limepiga marufuku maandamano yaliyokuwa yamepangwa kufanyika na Umoja wa vijana wa CCM
Apple Kuweka Mabadiliko ya Bei kwenye Programu ya “App Store” kwa Tanzania, Nigeria, Misri, na Uturuki July 13, 2023 Biashara, Habari, Teknolojia Nchi za Tanzania, Misri, Nigeria na Uturuki zimekumbwa na mabadiliko ya bei katika App store kutokana na mabadiliko mbalimbali.
Wakenya wakimbilia Tanzania kisa bei ya mafuta July 12, 2023 Biashara Maelfu ya wananchi kutoka Kenya (Namanga) wameonekana Tanzania kuja kununua mafuta kwa bei nafuu
Ndege ya mizigo ya ATCL sasa mambo mazuri July 10, 2023 Biashara, Uchumi Ndege ya mizigo ya Shirika la ndege nchini ATCL imefanya safari yake ya pili hii leo tarehe 10 kupeleka mizigo Dubai.
Waziri Mkuu amesema Bandari haitauzwa July 8, 2023 Biashara, Siasa, Uchumi Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema wananchi wanatakiwa kuwa na imani na serikali yao na kuwa bandari haitauzwa
Tanzania na Zambia yakubaliana kuhusu bomba la mafuta July 8, 2023 Biashara Tanzania na Zambia zimekubaliana kuimarisha ulinzi katika eneo ambalo bomba la mafuta linapita katika nchi hizo mbili
Mwanzilishi wa Telegram akamatwa Ufaransa Ulaya August 25, 2024 Mwanzilishi wa Telegram mwenye asili ya kirusi amekamatwa nchini Ufaransa siku ya
Hitilafu ya mfumo wa Crowdstrike yasimamisha dunia July 19, 2024 Anguko la mfumo wa Crowdstrike umesababisha kapuni nyingi duniani kushindwa kutoa huduma