Kenya yakanusha kudukuliwa na China Kenya imekanusha kudukuliwa na China kwa miaka mitatu kama ambavyo iliripotiwa na shirika la habari la 'Reuters' Siasa, Teknolojia May 27, 2023 Soma Zaidi
Neuralink yaanza majaribio kuunganisha ubongo na kompyuta May 27, 2023 Teknolojia Kampuni ya Neuralink ya Elon Musk imepewa kibali na FDA kuanza majaribio ya kuunganisha ubongo na kompyuta
Rais Samia na Museveni wazindua mradi wa umeme May 25, 2023 Siasa, Teknolojia Raisi wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania na Raisi wa Uganda kwa pamoja wamefungua mradi wa umeme
EU yaipiga faini META kwa kudukua taarifa binafsi May 24, 2023 Teknolojia Kamisheni ya Umoja wa Ulaya inayosimamia ulinzi wa taarifa binafsi imeipiga faini ya shilingi Trilioni 3 kampuni ya META
China yaipiga marufuku kampuni ya Marekani May 22, 2023 Siasa, Teknolojia China imepiga marufuku bidhaa zinazotengenezwa na kampuni ya teknolojia ya micron kutoka nchini Marekani
Tanesco hawahusiki kukatika umeme Bungeni May 15, 2023 Teknolojia Shirika la umeme nchini TANESCO wamesema hawahusiki na kukatika na umeme Bungeni ni shida ndani ya Bunge
Serikali kuongeza huduma ya mawasiliano May 14, 2023 Teknolojia Serikali inaenda kuongeza minara yenye uwezo wa kutoa huduma ya teknolojia ya 3G na 4G katika maeneo mbalimbali nchini
Rais Samia ataka makampuni ya simu yapunguze gharama May 14, 2023 Teknolojia Raisi wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassani ameagiza kampuni za mawasiliano kubuni teknolojia ya gharama nafuu
Elon Musk amempata Boss mpya wa Twitter May 12, 2023 Jamii, Teknolojia Bilionea Elon Musk amesema kwamba amempata Mtendaji Mkuu mpya atakae uongoza mtandao wa Twitter
Ethiopia yatoa leseni kwa Safaricom May 11, 2023 Teknolojia, Uchumi Ethiopia imeipatia leseni kampuni ya mawasiliano ya Safaricom kuendesha huduma za pesa (kutuma na kupokea pesa) nchini humo
Tanesco yakanusha kuhusika kukatika umeme uwanja wa B. Mkapa. May 1, 2023 Michezo, Teknolojia Shirika la umeme Tanzania TANESCO limesema halihusiki na kukatika kwa umeme Taifa katika mchezo wa Yanga dhidi ya Rivers united.
Ujenzi daraja Dar mpaka Zanzibar wakaribia April 28, 2023 Jamii, Teknolojia Serikali inajiridhisha juu ya teknolojia itakayotumika kujenga daraja kubwa litakalo unganisha Tanzania Bara na Zanzibar