ZINAZOVUMA:

Mradi mkubwa wa maji wazinduliwa Bagamoyo.

Waziri azindua mradi mkubwa ambao utatau kero za maji katika...

Share na:

Waziri Mkuu Kassimi Majaliwa Leo 16 March 2023 amezindua mradi wa ujenzi wa mfumo wa usambazaji maji kata ya makongo na mji wa bagamoyo sambamba na maadhimisho ya maji Duniani.

Mradi huu utagharimu Dola za kimarekani milioni 500 ambapo utaenda kuboresha upatikanaji wa maji jijini Dar es salaam na Tanzania kwa ujumla.

Aidha waziri Mkuu amesema serikali inatekeleza miradi mikubwa ya kimkakati inayolenga kutatua kero ya maji na kuwadumia wananchi wengi katika maeneo mbalimbali.

Endelea Kusoma

Waziri Mkuu wa Slovakia amejeruhiwa vibaya katika jaribio lakutaka kumuua kwenye mji

Chaguo la Mhariri

Habari Mpya