Mwanzilishi wa Telegram akamatwa Ufaransa August 25, 2024 Habari Mwanzilishi wa Telegram mwenye asili ya kirusi amekamatwa nchini Ufaransa siku ya Jumamosi akitokea Azerbaijan na ndege yake binafsi
PUTIN: tupo tayari kwa majadiliano na NATO June 23, 2024 Siasa Putin akaribisha jumuiya za kimataifa ikiwemo NATO katika majadiliano juu ya usalama wa Ukanda wa EurAsia unaojumuisha nchi za Ulaya
Waziri Mkuu wa Slovakia aonekana baada ya shambulio la risasi June 6, 2024 Afya, Habari, Siasa, Uhalifu Waziri Mkuu wa Slovakia aonekana kwenye hotuba yake kupitia mitandao wiki 3 baada ya shambulio la kujaribu kutaka kumuua kwa
Dangote Refinery kuorodheshwa Soko la Hisa la London (LSE) May 31, 2024 Nishati, Uchumi Dangote Petroleum Refinery imetoa tamko la kampuni hiyo kuorodheshwa kwenye masoko ya hisa ya Nigeria na London
Waziri Mkuu wa Slovakia anusurika jaribio la kumuua May 16, 2024 Siasa, Uhalifu Waziri Mkuu wa Slovakia amejeruhiwa vibaya katika jaribio lakutaka kumuua kwenye mji wa handlova baada ya kurushiwa risasi 5 siku
Putin abadilisha sura za safu ya Ulinzi na Usalama May 13, 2024 Siasa Rais Putin abadili sura za safu yake ya ulinzi kwa kumuteua Adrei Belousov kuwa waziri wa Ulinzi na Sergei Shoigu
Mbappé kubwaga manyanga PSG May 11, 2024 Michezo kylian Mbappé mchezai wa PSG, ameamua kutimiza ndoto yake ya kuhamia Real Madrid msimu ukiisha kwa kutokuendeleza mkataba na PSG
Idara ya Usalama Ukraine kuharibu njama za kumuua Zelensky May 7, 2024 Siasa Idara ya Usalama ya Ukraine (SBU) imefanikiwa kuvunja njama ya kumuua Rais Zelensky wa Ukraine na kuwakamata Makanali wawili wa
Rangi za nywele zasababisha apigwe faini Urusi May 3, 2024 Mitindo, Siasa Kijana mkaazi wa Moscow awekwa rumande na kupigwa faini kwa kupaka nywele zake rangi za taifa la Ukraine ambaolo lipo
Raia wa Poland akamatwa katika njama ya kumuua Zelensky April 19, 2024 Siasa, Uhalifu Raia wa Poland akamatwa akihusishwa na njama za Urusi kutaka kumuua Rais wa Ukraine Volodmyr Zelensky