ZINAZOVUMA:

Mbappé kubwaga manyanga PSG

kylian Mbappé mchezai wa PSG, ameamua kutimiza ndoto yake ya...

Share na:

Mchezaji wa klabu ya PSG na timu ya taifa ya Ufaransa Kylian Mbappé, amefikia uamuzi wa kuto kuongeza mkataba wake na klabu anayochezea hiyo.

Uamuzi ni chachu ya mshambuliaji huyo kutimiza ndoto yake ya kwenda Real Madrid, ambayo ilishindikina kutimia misimu miwili iliyopita ila sasa ameamua kufania kazi msimamo wake huo.

Endelea Kusoma

Waziri Mkuu wa Slovakia amejeruhiwa vibaya katika jaribio lakutaka kumuua kwenye mji

Chaguo la Mhariri

Habari Mpya