Urusi inapambana kulipa fadhila kwa Iran Shirika la Gazprom limeshindwa linaendelea mpango wa bomba la gesi kwenda Iran katik mpango wa fadhila wa Urusi kwa kikwazo cha Turkmenistan Nishati June 28, 2024 Soma Zaidi
PUTIN: tupo tayari kwa majadiliano na NATO June 23, 2024 Siasa Putin akaribisha jumuiya za kimataifa ikiwemo NATO katika majadiliano juu ya usalama wa Ukanda wa EurAsia unaojumuisha nchi za Ulaya
Fupa la Mjusi Mkubwa wa Zimbabwe lazua spishi mpya May 31, 2024 Elimu, Mali Kale, Utalii Fupa la mguu wa Mjusi mkubwa (Dinosaur) lililogunduliwa karibu na Ziwa Kariba nchini Zimbabwe laibua spishi mpya ya watambaachi (Reptilia)
Mahujaji 1000 kulipiwa gharama zote za HIJJA May 29, 2024 Jamii Mfalme wa Saudi Arabia na Msimamizi wa misikiti miwili mitakatifu anatarajia kuwalipia gharama za hijja, mahujaji 1300 msimu huu wa hijja.
Boeing na AirBus zashauriwakuharakisha uzalishaji May 15, 2024 Biashara, Teknolojia, Usafiri Mtendaji Mkuu wa shirika la ndege la Qatar Airways ameyashauri makampuni ya Airbus na Boeing kuongeza kasi ya kuzalisha ndege
Baadhi ya nchi za G20 zakubali kodi ya kidunia kwa matajiri April 27, 2024 Jamii, Maafa, Mazingira Nchi nne za G20 zaridhia kuwa na kodi kwa matajiri wa dunia nzima ili kuapata fedha za kupambana na majanga
Mwigulu Nchemba akaribisha wawekezaji wa Nishati April 19, 2024 Nishati Waziri wa Fedha wa Tanzania Mwigulu Nchemba awakaribisha wawekezaji wa sekta ya nishati ili kuzalisha nishati itakayoleta chachu ya Manedeleo
Polisi Tanzania kushiriki mafunzo na nchi nyingine 14 April 11, 2024 Jamii, Uhalifu Polisi Tanzania kuwa mwenyeji wa mafunzo ya pamoja kwa nchi 14 za Afrika mashariki ili kuongeza uwezo wa maafisa wa
VATICAN kupinga upasuaji wa kubadili Jinsia April 9, 2024 Jamii Kanisa Katoliki latoa waraka unaokemea upasuaji wa kubadili jinsia huku ikikubali upasuaji wa kurekebisha kasoro za kuzaliwa nao au za
Aliyepandikiziwa figo ya Nguruwe anaendelea vizuri April 4, 2024 Afya Aliyepandikiziwa figo ya nguruwe iliyobadilishwa vinasaba huko Massachusetts anaendelea vizuri ikiwa ni ishara ya kufanikiwa operesheni hiyo
Vifo vya raia wa uingereza vyaibua hasira ya serikali April 4, 2024 Habari Uingereza yang'aka kwa mauaji ya raia wake katika shambulio huko Gaza, na kutaka iundwe tume huru ya uchunguzi ili kuchunguza
Mawaziri wanachama NATO kusherehekea miaka 75 April 4, 2024 Siasa Mawaziri wa nchi wanachama wa umoja wa Antlantiki ya Kaskazini (NATO) wamejumuika siku ya Alhamisi kuserehekea na kuadhmisha miaka 75
Mwanzilishi wa Telegram akamatwa Ufaransa Ulaya August 25, 2024 Mwanzilishi wa Telegram mwenye asili ya kirusi amekamatwa nchini Ufaransa siku ya
Hitilafu ya mfumo wa Crowdstrike yasimamisha dunia July 19, 2024 Anguko la mfumo wa Crowdstrike umesababisha kapuni nyingi duniani kushindwa kutoa huduma