ZINAZOVUMA:

Hamna dhamira na dola: Raisi Samia

Raisi Dkt Samia Suluhu Hassani amesema wote wanaofanya siasa basi...

Share na:

Raisi Dkt Samia Suluhu Hassani amesema wote wanaofanya siasa basi ziwe siasa za kiistarabu kwani nchi yetu kwa sasa inaheshimika hivyo tusiirudishe nyuma na kuipotezea sifa yake.

Ameyasema hayo akiwa kwenye mkutano wa Baraza la wanawake chadema BAWACHA leo hii mkoani Kilimanjaro..

Aidha Raisi Samia amesema “Kwa namna navyoona sura zenu (wanachadema) hapa hamna dhamira ya kushika dola 2025 mnajua mama yupo, dhamira hiyo hamna”.

Raisi wa jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassani akizungumza katika mkutano wa Baraza la wanawake wa chadema BAWACHA mkoani Kilimanjaro.

Endelea Kusoma

Mfalme Salman wa Saudi Arabia aongoza kikao cha baraza la Mawaziri baada

Chaguo la Mhariri

Habari Mpya