Raisi Samia atoa ajira za elimu na afya. Raisi Samia kupitia wizara ya nchi OR- TAMISEMI ametoa ajira 21,200 kwa kada za ualimu na afya. Afya, Elimu, Siasa April 12, 2023 Soma Zaidi
Waliofutiwa matokeo kidato cha nne kurudia mtihani. April 12, 2023 Elimu Wizara ya elimu imetoa nafasi kwa wanafunzi 337 waliofutiwa matokeo ya kidato cha nne kurudia mtihani.
IDA yawafunda vijana. April 11, 2023 Elimu, Jamii Taasisi ya Islamic Development Agency kwa kushirikiana na Taasisi ya vijana wa kiislamu TAMSYA wameandaa warsha maalumu ya kuzungumza na
Wazazi kupatiwa elimu ya lishe. April 7, 2023 Afya, Elimu Wazazi na walezi wanatakiwa kushirikiana na wataalamu mbalimbali ili kupatiwa elimu ya lishe pamoja na huduma muhimu za afya.
M.A.T yatoa tamko madaktari 162 waliofutiwa Shahada zao. March 31, 2023 Afya, Elimu Chama cha madaktari Tanzania kimepokea kwa masikitiko taarifa ya wahitimu wa udaktari kufutiwa shahada zao na SAUT.
Wahitimu wa udaktari wafutiwa shahada zao. March 28, 2023 Elimu St Augustine Tanzania imewafutia shahada wahitimu wa udaktari 162 kwa kosa la kutorejesha nyaraka za matokeo.
Mwanzilishi wa Telegram akamatwa Ufaransa Ulaya August 25, 2024 Mwanzilishi wa Telegram mwenye asili ya kirusi amekamatwa nchini Ufaransa siku ya
Hitilafu ya mfumo wa Crowdstrike yasimamisha dunia July 19, 2024 Anguko la mfumo wa Crowdstrike umesababisha kapuni nyingi duniani kushindwa kutoa huduma