ZINAZOVUMA:

Biden awa Raisi wa kwanza kushiriki mgomo wa wafanyakazi

Raisi wa Marekani Joe Biden ameshiriki mgomo wa wafanyakazi wa...

Share na:

Raisi wa Marekani Joe Biden amekuwa Rais wa kwanza aliyepo madarakani kushiriki kwenye mgomo wa wafanyakazi wakati alipojiunga na katika viwanja vya jiji la Detroit.

Mgomo wa wafanyakazi hao unaingia wiki ya pili ya sasa wakitaka malipo zaidi, muda mfupi wa kufanyakazi na mahitaji mengine kutoka viwanda vikubwa vitatu vya kutengeneza magari.

Wafanyakazi wanataka nyongeza ya malipo kwa asilimia 40, kufanyakazi kwa saa 32 kwa wiki na zaidi wakigusia namna kampuni zinavyo pata faida.

Rais Biden mpaka sasa hajaweka wazi hadharani ni madai gani kati ya yale wanayoyahitaji anayaunga mkono ama kwa kiwango gani anaunga mkono maandamano ya wafanyakazi hao.

Endelea Kusoma

Mfalme Salman wa Saudi Arabia aongoza kikao cha baraza la Mawaziri baada

Chaguo la Mhariri

Habari Mpya