ZINAZOVUMA:

Watahiniwa wakamatwa na Bangi

Watahiniwa wanne wa kidato cha nne wakamatwa wakivuta bangi katika...

Share na:

Watahiniwa wanne wa kidato cha nne wakamatwa na Bangi, katika mji wa kisumu nchini Kenya.

Watahiniwa hao walikutwa wakivuta bangi, na misokoto saba ilichukuliwa kama ushahidi dhidi yao.

Wanafunzi hao walikuwa wakivuta bangi hiyo, katika ofisi ya michezo ambapo pia haifahamiki walipata vipi funguo.

Wanafunzi hao walipelekwa polisi, lakini baadae waliachiwa ili kufanya mitihani iliyobaki.

Pia walitakiwa kuripoti kituo cha polisi, na wanaweza kushitakiwa baada ya kumaliza mitihani yao.

Wanafunzi wote hao wana umri wa chini ya miaka 18.

Endelea Kusoma

Mwanzilishi wa Telegram mwenye asili ya kirusi amekamatwa nchini Ufaransa siku ya

Chaguo la Mhariri

Habari Mpya