Putin aapishwa kwa muhula wa tano Rais Putin wa urusi kuapishwa tena jijini Kremlin kushika wadhifa huo kwa muhula wa tano, katika sherehe ambayo ilisusiwa na mataifa ya magharibi Siasa May 7, 2024 Soma Zaidi
Nyara za Serikali zawasababishia kifungo cha miaka 20 May 7, 2024 Maafa, Mazingira, Uhalifu, Utalii Mahakama imewapa adhabu ya miaka 20 jela kwa kila mmoja watuhumiwa wawili wa ujangili kwa kukutwa na nyara za serikali
Lishe duni, sababu ya watoto kukimbia hesabu May 6, 2024 Habari Miongoni mwa sababu za wanafunzi kuwa na uelewa mdogo, kuchukia masomo ya sayanis na hata kuwa watoro wa shule ni
Wakufunzi Mkwawa wapatiwa semina ya Usawa wa kijinsia May 6, 2024 Elimu, Jamii Wakufunzi wa chuo kikuu kishiriki cha Mkwawa (MUCE) wapewa semina ya usawa wa jinsia ili kujiandaa na utekelezaji wa mradi
Lissu: Rushwa imekithiri uchaguzi wa ndani May 4, 2024 Habari Lissu ashangazwa watu kutumia pesa nyingi ili kupata vye ndani ya chama, na yeye kuambiwa hakuna pesa za mikutano ya
Linturi tumbo joto sakata la mbolea feki May 4, 2024 Kilimo Ofisi ya DPP nchini Kenya imetoa idhini ya kukamatwa kwa Waziri wa kilimo na Katibu wa wizara hiyo, huku wabunge
MSD HAKIKISHENI VITUO VYA AFYA VINA DAWA May 1, 2024 Afya, Jamii Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Tanga na Mkuu wa wilaya ya Tanga Mjini amewataka MSD kuhakikisha vituo vya afya vina
Wachimba wafunzwa madhara ya Zebaki na NEMC May 1, 2024 Maafa, Madini NEMC na Ofisi ya Mkemia Mkuu wa Serikali watoa mafunzo juu ya madhara ya kemikali ya Zebaki kwa Wachimbaji wadogo
Dkt. Mwinyi: Zanzibar ni muumini wa dhati wa Muungano April 26, 2024 Jamii, Siasa Rais Mwinyi awapongeza viongozi wa Tanzania na Zanzibar kwa kuulinda Muungano hadi hivi leo, na kuapa kuulinda kwa ajili ya
Majaliwa: Vifo vinavyotokana na maafa ya mvua vimevuka 150 April 26, 2024 Biashara, Jamii, Maafa, Uchumi, Usafiri Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema kuwa vifo vilivyotokana na Mvua kubwa inayoendelea kunyesha nchini vimefika 155 na kuna majeruhi zaidi ya 230.
Tanzania: Asilimia 96 ya vijiji vimepelekewa umeme April 24, 2024 Biashara, Jamii, Nishati, Uchumi Ni asilimia 4 tu ya vijiji vya Tanzania havina umeme, na Wzara ya Nishati inapambana kuhakikisha umeme unafika ili kuimarisha