ZINAZOVUMA:

Balozi wa Urusi: tutaimarisha uhusiano na Senegal

Balozi wa Urusi Dimitry Kurakov nchini Senegal asema mpango wa...

Share na:

D41586-022-02076-1Gazeti la Sputnik la limenukuu balozi wa Urusi juu ya mpango wa kuimarisha uhusiano wake na nchi ya Senegal baada ya kuongea na balozi huyo.

“Tunategemea kuundwa kwa kamati ya pamoja ya ushirikiano wa kiuchumi. Sasa kila kitu kinategemea upande wa Senegal,” alisema Dimitry Kurakov.

Balozi huyo wa Urusi alipendekeza nchi hizo kushirikiana ili kuimarisha uchumi wa nchi hizo.

Na kuongeza kuwa taifa lake lina mpango wa kuanzisha ndege za kukodisha na taifa hilo la Afrika.

“Shida kwa watalii wetu ni ukosefu wa ndege za moja kwa moja na gharama kubwa ya tiketi za ndege.

Taifa hilo lin1a uzoefu wa ndege za kukodisha kutoka urusi na taifa la Gambia, na kutoka na uzoefu huo ni rahisi kuanzisha mfumo huo na Senegal.

Mbali na utalii Kurakov alisema kuwa Urusi inawafundisha watu ufundi wa helikopta za Urusi, na Senegal ina nia ya kununua

Endelea Kusoma

Waziri Mkuu wa Slovakia aonekana kwenye hotuba yake kupitia mitandao wiki 3

Chaguo la Mhariri

Habari Mpya