Wagonjwa waathiriwa na mgomo wa madaktari Kenya March 15, 2024 Afya Wagonjwa wakosa huduma nzuri katika hospitali za umma nchini Kenya baada ya madaktari kugoma kuishinikiza serikali kuboresha maslahi yao
Dawa zisiuzwe bila cheti cha Daktari July 25, 2023 Afya Katibu Mkuu Wizara ya Afya amewataka wamiliki wa maduka ya madawa nchini kutokuuza dawa kwa mgonjwa asie na cheti cha
M.A.T yatoa tamko madaktari 162 waliofutiwa Shahada zao. March 31, 2023 Afya, Elimu Chama cha madaktari Tanzania kimepokea kwa masikitiko taarifa ya wahitimu wa udaktari kufutiwa shahada zao na SAUT.
Wahitimu wa udaktari wafutiwa shahada zao. March 28, 2023 Elimu St Augustine Tanzania imewafutia shahada wahitimu wa udaktari 162 kwa kosa la kutorejesha nyaraka za matokeo.
Rais Samia ziarani nchini Korea kusini May 30, 2024 Biashara, Madini, Usafiri Rais Samia atakuwa kwenye ziara ya siku 7 Korea Kusini pamoja na kuhudhuria mkutano wa mwaka wa nchi za Afrika
Wachimba wafunzwa madhara ya Zebaki na NEMC May 1, 2024 Maafa, Madini NEMC na Ofisi ya Mkemia Mkuu wa Serikali watoa mafunzo juu ya madhara ya kemikali ya Zebaki kwa Wachimbaji wadogo
GAZA: Kichanga chaokolewa tumboni kwa mama aliyefariki April 22, 2024 Maafa, Uhalifu Kichanga chaokolewa kwa upasuaji wa dharura kumtoa katika tumbo la mama yake aliyefariki utokana na shambulizi na Israel katika mji
Kesi ya aina yake juu ya maoni hasi Ramani za Google April 19, 2024 Biashara, Jamii, Uchumi Kampuni ya Google imeshtakiwa na Madaktari 60 nchini Japan juu ya maoni hasi kuhusu kliniki zao katika Ramani za Google
Aliyepandikiziwa figo ya Nguruwe anaendelea vizuri April 4, 2024 Afya Aliyepandikiziwa figo ya nguruwe iliyobadilishwa vinasaba huko Massachusetts anaendelea vizuri ikiwa ni ishara ya kufanikiwa operesheni hiyo
Mtoto atolewa sarafu iliyokwama kooni April 4, 2024 Afya, Teknolojia Mtoto wa miaka miwili atolewa sarafu iliyokwama kooni kwa siku sita katika hospitali ya Benjamin Mkapa iliyopo Mkoani Dodoma
Wanajeshi wa Afrika Kusini walalamikia ukosefu wa vifaa DRC April 2, 2024 Habari Wanajeshi wa Afrika Kuisni waliopelekwa nchini DRC kwa ajili ya kupambana na vikosi vya M23 walalamika kukosa vifaa na mafunzo
AL HILAL ya Sudan kuomba kucheza ligi ya NBC March 19, 2024 Habari Al Hilal yaomba kukichafua ligi kuu ya Tanzania maarufu kama Ligi ya NBC, wakiamini kuwa itakuwa ni chachu ya kimaendeleo
Mwanzilishi wa Telegram akamatwa Ufaransa Ulaya August 25, 2024 Mwanzilishi wa Telegram mwenye asili ya kirusi amekamatwa nchini Ufaransa siku ya
Hitilafu ya mfumo wa Crowdstrike yasimamisha dunia July 19, 2024 Anguko la mfumo wa Crowdstrike umesababisha kapuni nyingi duniani kushindwa kutoa huduma
Uganda: Afungwa miaka 6 jela kwa kumtukana Rais Afrika, Afrika Mashariki July 11, 2024 Kijana Edward awebwa ahukumiwa miaka 6 jela nchini Uganda, kwa kumtukana rais