Fupa la Mjusi Mkubwa wa Zimbabwe lazua spishi mpya May 31, 2024 Elimu, Mali Kale, Utalii Fupa la mguu wa Mjusi mkubwa (Dinosaur) lililogunduliwa karibu na Ziwa Kariba nchini Zimbabwe laibua spishi mpya ya watambaachi (Reptilia)