Taswira ya Sanamu la Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere lililowekwa kwenye Makao Makuu ya Umoja wa Afrika (AU), Addis Ababa nchini Ethiopia kwa ajili ya kutambua mchango wake katika masuala ya ukombozi barani Afrika, limezinduliwa leo Februari 18, 2024.
- August 25, 2024
Mwanzilishi wa Telegram mwenye asili ya kirusi amekamatwa nchini Ufaransa siku ya