ZINAZOVUMA:

Mradi wa Bwawa la Nyerere kukamilika Disemba

Dkt. Biteko asema kuwa Bwawa la Nyerere linatarajiwa kukamilika mwezi...

Share na:

Serikali imesema imeanza uzalishaji wa umeme kupitia mradi wa Bwawa la kuzalisha umeme kwa maji wa Julius Nyerere (JNHPP) wenye uwezo wa kuzalisha Megawati 2,115, ambapo uzalishaji huo umeanza kwa Megawati 235 kupitia mtambo namba tisa.

Hayo yamesema na Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Dkt. Doto Biteko Bungeni jijini Dodoma wakati akisoma hotuba ya Bajeti ya Wizara ya Nishati kwa mwaka wa fedha 2024/2025.

“Matarajio ni mradi huu kukamilika Disemba 2024 kwa mitambo yote nane yenye uwezo wa kuzalisha Megawati 235 kila moja kuwa inazalisha umeme”. amesema Dkt. Biteko

Endelea Kusoma

Anguko la mfumo wa Crowdstrike umesababisha kapuni nyingi duniani kushindwa kutoa huduma

Chaguo la Mhariri

Habari Mpya