INDIA kununua mbaazi za Tanzania Mama samia arudi kutoka India akiwa na uhakika wa soko la mbaazi, uwekezaji kwenye zao la Korosho pamoja na kiwanda cha matrekta. Biashara, Uchumi October 14, 2023 Soma Zaidi
Maelfu Wajitokeza Kote Ulimwenguni Kupinga Mashambulizi ya Gaza na Israel October 13, 2023 ISRAEL - GAZA Maelfu ya watu wamejitokeza mitaani kote duniani kuonyesha mshikamano na Wapalestina huku Israel ikijiandaa kwa uvamizi wa Gaza.
Urusi kuonya nchi za Magharibi October 7, 2023 Siasa Urusi yatoa onyo kwa mataifa ya magharibi yenye nia ya kuishambulia, kuwa Urusi watawachakaza kwa makomborayoyote atakayewashambulia.
Wagombea wa Urais wapigwa mabomu ya machozi Madagascar October 3, 2023 Siasa Wagombea wapinzani wa Urais nchini Madagascar wamepigwa mabomu ya machozi baada ya kufanya maandamano
WHO yaidhinisha chanjo ya pili ya malaria October 3, 2023 Afya Shirika la Afya Duniani WHO limeidhinisha chanjo ya pili dhidi ya ugonjwa wa malaria na tayari imeanza kutumika Afrika
Magaidi washambulia jirani na Bunge la Uturuki October 2, 2023 Maafa Magaidi wawili washambulia jirani na makao makuu ya Bunge la Uturuki mjini Ankara
Trump kizimbani kwa kudanganya mali na thamani anazomiliki September 27, 2023 Jamii, Siasa Raisi wa zamani wa Marekani Donald Trump ameshtakiwa kwa kudanganya idadi ya mali na thamani anazomiliki kwa benki na bima
Marekani yatangaza kusitisha msaada Gabon September 27, 2023 Siasa Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani ametangaza kuwa nchi yake itasitisha misaada uliyokuwa inaitoa kwa nchi ya Gabon
Biden awa Raisi wa kwanza kushiriki mgomo wa wafanyakazi September 27, 2023 Jamii Raisi wa Marekani Joe Biden ameshiriki mgomo wa wafanyakazi wa kampuni za magari wanaodai maslahi yao kuongezwa
Waziri wa Iran azuiwa kuingia Washington September 26, 2023 Siasa Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amezuiliwa kuingia Washington kwa kile kilichosemwa ni wasiwasi kutokana na uhusiano wa nyuma
Nissan kuuza magari ya umeme pekee kufikia 2030 September 26, 2023 Teknolojia Kampuni ya kutengeneza magari kutoka Japan imesema kufikia 2030 itakua ikitengeneza gari za umeme pekee kuzuia mabadiliko ya tabia ya nchi
Polisi wagoma kutumia silaha kisa mwenzao kushtakiwa September 25, 2023 Jamii Polisi jijini London wamegoma kutekeleza majukumu yao Kwa kutumia silaha baada ya mwenzao kushtakiwa